Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Maneno mengiii sana unaandika.. si wew eumesema kuhusu wanawake.. haya yote ya nini!!! jifunze kwenda nje ya boksi..
Imenihitaj kuandika kwa mapana.

Kukusaidia angalau ktk uelewa wako mdogo ambao bado ulopofushwa na Siasa uchwara, japo uelewe.
 
Mimi kwa uelewa wangu mdogo chanjo inakuwa inafanya kazi vizuri ukiitumia mtoto mdogo Sasa ukichanjwa ukiwa mkubwa matokeo yanakuwa siyo mazuri na ndiyo maana hata chanjo ya saratani wanachanjwa vigoli na wanaambiwa wasifanye Kwanza mpaka wamalize chanjo Sasa nadhani wao wanachanjwa alafu wanafanya ujinga wao ambao unawaletea madhara kwenye kizazi.

Hivyo na chanjo ya corona nipo sawa na JPM sema naona kwenye kuwakilisha ndo imeleta sinto fahamu kwamba hizo chanjo za uzeeni au ukubwani siyo nzuri kwa afya maana mwili unakuwa ushabeba mengi hivyo kukubadilikia ni rahisi na kuleta madhara ndo maana hizo chanjo za ukimwi inakuwa ngumu kutengeneza fomula yake na kuwachanja watoto maana inaambukizwa kwa damu tofauti na hizo Tb, polio, tetenasi wanazochanjwa watoto kuzuia watoto wasipatwe hizo tatizo kirahisi.

Hebu jipeni muda muone hao wanaochanjwa wakiwa watu wakubwa ni wangapi wataendelea kuishi ndo mchukue maamuzi, hivyo Sasa hivi tusilalamike mbona za watoto tunakubali za watoto tuzipambanie sana zipatikane Ili waendelee kuchanjwa tuendelee kuwalinda watoto wetu Ila watu wakubwa ni Jambo linafikilisha.
 
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.

Vilaza ni changamoto kubwaaaaaa
 
Kuna uwezekano tukamfungulia kesi ya kutokubaliana na maagizo ya dunia kuhusu afya ya jamii na kusababisha vifo kwa idadi isiyojulikana.
Anza na Ile ya Human Rights violation wakati wa uchaguzi mlifikia wp kwani...!!?
sio mnaandika vitu msivyoweza tekeleza alaa!
 
Hili swala la corona kiukweli Tanzania imefanya vizuri, wengi wetu humu ni watanzania ,tukiangalia hata kwenye makazi yetu hakuna vifo vya marafiki, ndugu wala jamaa kwa gonjwa hili, sijui kimefanyika nini Tanzania lakini ni hali ambayo ipo, mimi sioni umuhimi wowote kwa baadhi ya watanzania kuendelea kulazimisha lockdown, au sijui tufanye kama nchi zinge ,scenarios ni tofauti.

Binafsi ni miongoni mwa watu walioogopa sana gonjwa hili hata kuomba serikali tuingie lockdown lakini serikali haukufanya vile na madhara hakuna, kwa hiyo sio kila kitu kinachofanyika nchi zingine kifanyike Tanzania, labda la muhimu ni kwamba tuendelee kuchukua hatua basi.
 
Huyu raisi ni genious, very curious, si iamini chanjo sio shirikishi. Aongezewe ulinzi. African population na current technological advances ni dhahiri sis ni threat(africans).

Magufuli kwa inteligence aliojaliwa na mwenyezi mungu analitariet! Workd order inakua always proposed na wa israeli! Ndo maana kwa sasa wanaongoza kwa kuchomana chanjo - placebo.

Ili kushawishi ulimwengu!

Wajerumani wametilia shaka

Raisi wetu katilia shaka.

Mimi kama mchunguzi nimefurahia shaka ya Raisi wetu.

Asante Mungu kwa kutupatia raisi pekee mwanasayansi duniani la sivo sasa hivi tungekua kwenye.

Lock- down
 
Mimi kama mchunguzi nimefurahia shaka ya Raisi wetu.
Wewe ni "mchunguzi" wa vitu gani mkuu?
Huyu raisi ni genious, very curious, si iamini chanjo sio shirikishi. Aongezewe ulinzi. African population na current technological advances ni dhahiri sis ni threat(africans)
"Mcunguzi" wewe, umechunguza na kugundua kwamba hii chanjo ni kwa waafrika pekee?

Haya kwa kuwa wewe umejitangaza hapa kwamba ni "mchunguzi", wataalam kama wewe ndio mnaotegemewa kuliokoa taifa hili na majanga?

Kwa kusoma tu uliyoandika hapo, sina shaka kuwa elimu yako ni mbovu sana, kama kweli unayo hiyo elimu.
 
Waoga saaana wa Corona inawasepesha!!

Inaonesha jinsi ulivyomuoga, Rais alivyosisitiza koote huko kuhusu kuchukua hatua na tahadhari juu Corona, wewe umeskia Neno la yeye kukataa kinga pekee??

Chukua tahadhari mpuuzi wewe
Ewe fala utaacha lini ufala wako? Waoga sana wa corona wanakufa. Yeye ameonyesha mwoga. Anakufa. Rais anasisitiza kuchukua tahadhari. Corona ya ajabu ajabu imeletwa na waliokwenda nje kupata chanjo. Corona haijawa kubwa na HAIPO, iko chache sana. Wewe fala corona ipo au HAIPO?
 
Ewe fala utaacha lini ufala wako? Waoga sana wa corona wanakufa. Yeye ameonyesha mwoga. Anakufa. Rais anasisitiza kuchukua tahadhari. Corona ya ajabu ajabu imeletwa na waliokwenda nje kupata chanjo. Corona haijawa kubwa na HAIPO, iko chache sana. Wewe fala corona ipo au HAIPO?
Kachanjwe, la sivyo....!!
 
Kachanjwe, la sivyo....!!
Swadakta. Hilo ndilo jambo sahihi kwa magonjwa kama corona. Tiba ni ngumu au hakuna. Kinga ni chanjo. Wenye akili timamu hilo wanalijua na hufanya hima kulitekeleza. Nachanjwa. Shida ni kwa timu ya sifa na mapambio. Ajabu anayesifiwa na kupambwa chanjo yake ilitoka China. Karagabaho!
 
Nilipokuwa naambiwa Magu ni mwendawazimu nilikuwa siamini...
Eti mbona hawana chanjo... wangekuwa na chanjo wangeleta ya UKIMWI, malaria, mara kuna nchi walichanja chanjo ya tezi ya shingo watoto hawakuzaa kabisa, mara corona ipo chache, mara ipo ila sio kubwa.

Huyu Rais kichwa sio kizuri kwa kweli.
 
Rais yupo sahihi sio kila chanjo ni nzuri kwa afya ya mtumiaji.
 
Eeenh,

Hata kama ni Ph.D. ya Hisabati, mhusika angekuwa na uelewa wa kutosha kabisa kutoyasema haya!
Kuna sababu kwa nini shahada ya uzamivu inaitwa Ph. D kwa wote haijalishi ni katika somo lipi. Wote walionayo wana uelewa wa kutosha. Bila hivyo hiyo shahada hana. Jaribu kumsoma Albert Einstein utashangaa. Bingwa wa hesabu na fizikia lakini nukuu alizotuachia zinatoka kila nyanja ya maisha?
 
Kuna sababu kwa nini shahada ya uzamivu inaitwa Ph. D kwa wote haijalishi ni katika somo lipi. Wote walionayo wana uelewa wa kutosha. Bila hivyo hiyo shahada hana. Jaribu kumsoma Albert Einstein utashangaa. Bingwa wa hesabu na fizikia lakini nukuu alizotuachia zinatoka kila nyanja ya maisha?
Ninakubaliana nawe mkuu; lakini huyo alikuwa 'Albert Einstein', na sio hawa wa PhD hizi za kughushi.

Mtu mwenye PhD ya Hisabati toka chuo Kikuu cha "Jalalani", hata lugha ya kujieleza tu aeleweke anachokitetea kwenye thesis yake ni shida!
Hujamsikia huyo waziri wetu wa elimu?

Kuna tofauti kubwa sana kati ya PhD hizi zetu za kisiasa na kujuana na zile za akina 'Albert Eistein'.

Na ukweli ni kwamba haihitaji mtu kuwa na PhD kuweza kuelewa mambo kama haya anayoyavungavunga mhusika huyu ili kuwachanganya na kuwavuruga tu akili wananchi.
 
Sioni ubaya wa mh Rais kuiendeleza Chato
Ila ingekua busara Kama yangefanyika kimyakimya
 
Kwa nchi zenye Watendaji Huru, Waziri wa Afya alikua anajiuzulu ili Kulinda Heshima yake.

Huna hakika, hujui kama Waziri wa Afya hakubaliani na ideologies za Rais. Acha ku assume blindly.

Many within and outside the administration are in lock step with the President's view.

We will pass up on this vaccine.

We repudiate the western medical regime that never sees the urgency to make vaccines for pandemics that kill mostly the third world sub-Saharans, like Malaria and AIDS.
 
Back
Top Bottom