Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Imenihitaj kuandika kwa mapana.Maneno mengiii sana unaandika.. si wew eumesema kuhusu wanawake.. haya yote ya nini!!! jifunze kwenda nje ya boksi..
Tek it easyAnajibu vitu mabavyo hata hajaulizwa!...
Anza na Ile ya Human Rights violation wakati wa uchaguzi mlifikia wp kwani...!!?Kuna uwezekano tukamfungulia kesi ya kutokubaliana na maagizo ya dunia kuhusu afya ya jamii na kusababisha vifo kwa idadi isiyojulikana.
Wewe ni "mchunguzi" wa vitu gani mkuu?Mimi kama mchunguzi nimefurahia shaka ya Raisi wetu.
"Mcunguzi" wewe, umechunguza na kugundua kwamba hii chanjo ni kwa waafrika pekee?Huyu raisi ni genious, very curious, si iamini chanjo sio shirikishi. Aongezewe ulinzi. African population na current technological advances ni dhahiri sis ni threat(africans)
Hata wewe hujumjui Mungu aliye hai anakaa kwa watu wa sifa gani!!Mungu siyo Amsterdam
Ewe fala utaacha lini ufala wako? Waoga sana wa corona wanakufa. Yeye ameonyesha mwoga. Anakufa. Rais anasisitiza kuchukua tahadhari. Corona ya ajabu ajabu imeletwa na waliokwenda nje kupata chanjo. Corona haijawa kubwa na HAIPO, iko chache sana. Wewe fala corona ipo au HAIPO?Waoga saaana wa Corona inawasepesha!!
Inaonesha jinsi ulivyomuoga, Rais alivyosisitiza koote huko kuhusu kuchukua hatua na tahadhari juu Corona, wewe umeskia Neno la yeye kukataa kinga pekee??
Chukua tahadhari mpuuzi wewe
Kachanjwe, la sivyo....!!Ewe fala utaacha lini ufala wako? Waoga sana wa corona wanakufa. Yeye ameonyesha mwoga. Anakufa. Rais anasisitiza kuchukua tahadhari. Corona ya ajabu ajabu imeletwa na waliokwenda nje kupata chanjo. Corona haijawa kubwa na HAIPO, iko chache sana. Wewe fala corona ipo au HAIPO?
Swadakta. Hilo ndilo jambo sahihi kwa magonjwa kama corona. Tiba ni ngumu au hakuna. Kinga ni chanjo. Wenye akili timamu hilo wanalijua na hufanya hima kulitekeleza. Nachanjwa. Shida ni kwa timu ya sifa na mapambio. Ajabu anayesifiwa na kupambwa chanjo yake ilitoka China. Karagabaho!Kachanjwe, la sivyo....!!
Ha ha haaa bora umejisema ya siasa.. uwe unaenda nje ya boksi.Imenihitaj kuandika kwa mapana.
Kukusaidia angalau ktk uelewa wako mdogo ambao bado ulopofushwa na Siasa uchwara, japo uelewe.
Eti mbona hawana chanjo... wangekuwa na chanjo wangeleta ya UKIMWI, malaria, mara kuna nchi walichanja chanjo ya tezi ya shingo watoto hawakuzaa kabisa, mara corona ipo chache, mara ipo ila sio kubwa.Nilipokuwa naambiwa Magu ni mwendawazimu nilikuwa siamini...
Kuna sababu kwa nini shahada ya uzamivu inaitwa Ph. D kwa wote haijalishi ni katika somo lipi. Wote walionayo wana uelewa wa kutosha. Bila hivyo hiyo shahada hana. Jaribu kumsoma Albert Einstein utashangaa. Bingwa wa hesabu na fizikia lakini nukuu alizotuachia zinatoka kila nyanja ya maisha?Eeenh,
Hata kama ni Ph.D. ya Hisabati, mhusika angekuwa na uelewa wa kutosha kabisa kutoyasema haya!
Ninakubaliana nawe mkuu; lakini huyo alikuwa 'Albert Einstein', na sio hawa wa PhD hizi za kughushi.Kuna sababu kwa nini shahada ya uzamivu inaitwa Ph. D kwa wote haijalishi ni katika somo lipi. Wote walionayo wana uelewa wa kutosha. Bila hivyo hiyo shahada hana. Jaribu kumsoma Albert Einstein utashangaa. Bingwa wa hesabu na fizikia lakini nukuu alizotuachia zinatoka kila nyanja ya maisha?
Kwa nchi zenye Watendaji Huru, Waziri wa Afya alikua anajiuzulu ili Kulinda Heshima yake.