Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

''......ninajua wapo baadhi ya watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu,''

Ohoooo kwa hiyo ipo tena ile mpya, tuanze kupiga nyungu tena. Leo nimeenda ilala sokoni kununua malimao na tangawizi ya kutosha tutumie anymeans tupambane na huyu kirusi mpya tutatoboa tu, kwa habari ya kufungiana naungana na Rais hilo hapana ila tahadhari zingine zichukuliwe
 
Lakini nyie si ndio mnaamini corona ilipungua na hadi mkaacha kuchukua tahadhari kwenye kipindi cha kampeni? Cha muhimu ni kutumia mbinu zilezile zilizotumika kukabiliana na corona ambayo mnadai ilipungua.
 
Nice,hiyo ni kauli ya jemadari wetu,chapa kazi...
 
sawa mzee baba;
KOONA IPO,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…