Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Jana kwenye mazishi ya Mbunge Majaliwa alikua kapigiwa “social distance”. Watu wengine kule wamebanana kama kawaida. Hawa wanasiasa bana!

Ni kama vile wananavyohubiri uzazi wa mpango huku wao wakiwa na familia kubwa ambazo hazitoshi hata kwenye dirisha la kamera
 
Imeisha hiyo
Tuchukue tahadhari na tusiamini kwenye chanjo maana hata hao watoa chanjo wanakufa
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi siku nikiwaona wanakataa vitu vya mabeberu kama VX-V8, Mabomu ya machozi, VIFARU, AK47, PESA etc

Hapo kweli nitaanza kuamini kweli wazungu ni wabaya, na hawana nia njema na sisi
 
Anayejiita Mwendawazimu anabishana na WHO!!! Sasa kwanini asitangaze Tanzania inajitoa WHO kwa kuwa ni WAONGO chanjo zao zote ni bomu? 😳
 
Mimi siku nikiwaona wanakataa vitu vya mabeberu kama VX-V8, Mabomu ya machozi, VIFARU, AK47, PESA etc

Hapo kweli nitaanza kuamini kweli wazungu ni wabaya, na hawana nia njema na sisi
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba mtu anayetakiwa kuwaelimisha wananchi ndiye anakuwa mtu wa kuwapotosha wananchi. Inasikitisha sana kama taifa hili bado tunao wananchi wajinga wa kuamini mambo bila kudadisi yanayosemwa na mtu anayedhamiria kabisa kuwapotosha kwa maksudi tu ya manufaa yake.
 

Watu wote waliofanikiwa kunywa dawa ya babu wa loliondo kwanini mnatuchanganya na kutufanya wote kama vile tuna seti moja ya akili ?
 
Simon wa klene
Kumbe unaijua Theology Mkuu 👏👏👏

Nimekuwa mvivu kidogo siku hizi kusoma soma bible mara kwa mara kutokana na majukumu, but angalau knowledge yangu ya Sunday school bado inanisaidia
 
Relax Brother
Acha kupanic
 
Mwambieni mkuu huku kwetu TANGA - Lushoto, kuna mashamba ya miti makubwa zaidi ya hayo, waje wazindue kama vya kuzindua vimeisha .........
Huko si mnae 'January', mfanyeni naye awe rais wenu awazindulie misitu ya nchini kwenu Lushoto. Kwani shida iko wapi hapo!
 
Watanzania chukueni hatua rais amesema CORONA ya ajabu imeletwa na walienda kuchanjwa huko nje! Kwa msemo wa rais kuna CORONA TZ
 
Nyie mlio against si mnajulikana? Mliwahi kumuunga mkono Magufuli kwa jambo lipi? Toka corona inaanza mnataukana tu eti hachukui hatua, hatua zipi zilizofanikiwa?

Hakuna hatua hata moja iliyofanikiwa na ndio maana tunamuunga mkono anaposema tuendelee na mambo yetu tukichukua tahadhali huku tukiomba Mungu.

Hao beberu zenu wenyewe wameshachoshwa na hayo masharti ndio maana unaona hata kwenye uchaguzi mkuu wa Marwkani watu wakikuwa kitaa bila hata barakoa, alafu wewe kajamba nani utatwambia nini sisi ambao hatuna hata vifo elfu 2?
 
Covid 19 ilishindwa kuwaangamiza waafrika kama ilivyotarajiwa na baadhi ya wenye agenda za siri. Sasa bara la Africa limekumbwa na aina nyingine ya Covid 501-2v ambayo imetengenezwa na kuongezwa makali ili waafrika tupungue duniani.

Tanzania imevamiwa na strain mpya ya Covid 501-2v ambayo inauwa watu wengi nchini Zimbabwe na South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…