Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Taahira kweli weweAnayejiita Mwendawazimu anabishana na WHO!!! Sasa kwanini asitangaze Tanzania inajitoa WHO kwa kuwa ni WAONGO chanjo zao zote ni bomu? [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taahira kweli weweAnayejiita Mwendawazimu anabishana na WHO!!! Sasa kwanini asitangaze Tanzania inajitoa WHO kwa kuwa ni WAONGO chanjo zao zote ni bomu? [emoji15]
Hivi ni sifa zipi zinazomtambulisha mtu ajulikane kuwa ni "mwanasiasa"?Correction: Mwanasiasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara ipo mara haipo sasa tushike lipi? Hapa naona tu apply busara za JK "za kuambiwa changanya na za kwako"View attachment 1687354
Huna unalojua, halafu unajifanya wewe mjuaji! Hopeless kabisa.Hao beberu zenu wenyewe wameshachoshwa na hayo masharti ndio maana unaona hata kwenye uchaguzi mkuu wa Marwkani watu wakikuwa kitaa bila hata barakoa, alafu wewe kajamba nani utatwambia nini sisi ambao hatuna hata vifo elfu 2?
Hakuna kitu ipo chache sema ipo au hakuna na kama ipo chache ndio unatakiwa kuwa makini isiwe nyingi kusema hata hapa hawana barakoa ni kwa sababu watu wanaogopa wanataka kumfurahisha mzee.Mara ipo mara haipo sasa tushike lipi? Hapa naona tu apply busara za JK "za kuambiwa changanya na za kwako"View attachment 1687354
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unashangaza kudhani kufuata masharti ya Science ni kufuata rangi ya mtu...
Wamuulize Mugabe alipigwa vikumbo vya mbali tu wakaanza kufungia vitumbua pesa zao. Hospital zetu zote kila kitu kinachotusaidia pale kimetoka kwa haohao tunaowatukana hata sijui tuna nini kikubwa cha kutuvimbisha?Mimi siku nikiwaona wanakataa vitu vya mabeberu kama VX-V8, Mabomu ya machozi, VIFARU, AK47, PESA etc
Hapo kweli nitaanza kuamini kweli wazungu ni wabaya, na hawana nia njema na sisi
Nina wasiwasi na ufahamu wako,kama huijui WHO basi pole yako.Who wana nini sasa? Mpaka sasa hivi who wamekusaidia nini juu ya corona?
🤣 Wacha nicheke tu.Kwahiyo kumbe tuna corona tena ya ajabu ajabu huyu baba hajui kabisa kuongopa,kipindi kile alisema mapapai yana korona naona sasa hivi atasema papuchi za wachga zina korona