Rais leo kaongea kwa upole kabisa
Are you sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais leo kaongea kwa upole kabisa
Nimemsikia akisema waathirika wa tetemeko la ardhi wafanye kazi wasikae tu kusubiria Serikali iwasaidie, tetemeko halijaletwa na Serikali
Kweli siku izi sumbawanga hakuna uchawi tena. .yaan wameshindwa kuzuia upepo? ?[emoji86] [emoji86]Huko sumbawanga kuna kaya 24 nyumba zao paa zimechukuliwa na upepo. nao tena wanasubiri serikali ikawajengee mbona kazi ipo
kawambia waathirika wa tetemeko wajenge UKUTA na wasisubiri serikari.
AGO NIGO MAZIMA...OMUHAYA AKAGAMBA ATI: BAHAYA TWEMANYE!
ni kushukuru kawambia kuhusu tetemeko kutoletwa na selikari. kama mbeza watu walidiriki kuishukuru serikal kwa kupeleka kupatwa kwa jua. hao kagera wangeshindwa kuilaani serikali kupeka tetemeko huko?
Misaada haiendi. Tetemeko lageuka mradi wa chama cha zamaniYataenda kulipa mishahara,jamani watu si wametoa misaada?sasa hiyo misaada kwa nini isipelekwe?
Ndio ukuta ulipigwa marufukuUkuta si ulipigwa marufuku
Inaingia kwenye mfuko wa chama cha zamaniWakifanikiwa kujisaidia asilimia 100,hiyo michango iliyochangwa itapelekwa wapi?
unashangaa? wapo wanasiasa tena wakubwa wanataka ionekane kama serikali na ccm ndio wameleta tetemeko bukoba. baada ya tetemeko wamefika bukoba kama mshale hadi after shocks zimewakuta bukoba. kufika tu wakaanza kumlaumu rais kwamba hajafika bukoba na kulaumu serikali.Hatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?
Zitatumika kuimarisha chama chakavuSerikali haijatoa chochote hadi sasa kwa sababu haina pesa yan imefulia...basi sawa,wawape hizo pesa za misaada hakuna haja ya kuwasimanga wahanga.....yani mtu ukiwa huna pela na ukijua utaombwa pesa haya ndo huwaga mujibu yake
akili chache kubwa ndizo zitakazoelewa ulichoandika! s/o to you mkuu!!Kauli ya Mh Rais ilikuwa nzito mno. Kuna watu wamepoteza ndugu pale. Wapo wengine imewachukua miaka 30 kujenga nyumba zao. Wengine hawana kilichosalimika. Kama serikali haina uwezo, kauli za faraja zingetosheleza. Haiwezekani waombolezaji, uwaambie mkisha zika wahini kulima.
Maafa, yamfike mwingine yakikufika wewe ndio utajua tafsiri. Kuna watu wanahitaji counseling. Wengine maisha yao hayatakaa Sawa tena hadi siku ya mwisho. Tunatofautiana sana kwenye kuhimili misukosuko.
Tuwe na huruma.
Zilzala ndio tetemeko la ardhi,Zilzala ndiyo kitu gani? Msaada wanapewa, kuna shida gani kusema waendelee na ujenzi huku wakisubiri hiyo misaada?