Uchaguzi 2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

Kwa tume hii hats angesema hayo yesu mwenyewe original hakuna chochote kingefanyika.Jana yeye anawapangia washindani wake nini cha kufanya kwenye kampeni wakati naye Ni mgombea pia. Itapatikana haki hapo?
Ndio kusema unajifanya kuwa hujui kuwa JPM bado ni Amiri jeshi mkuu? Kwa hiyo lazima ahakikishe hakuna mtu anahatarisha usalama kwa namna yoyote?
 
Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo

Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.

Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa ihuru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Zipo sababu za kusema kuwa kwa mazingira tuliyonayo, hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-

1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao kwa pamba.

Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?

2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambazo zina lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki

Hivi unawezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?

Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?

3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?

Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?

Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?

Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!

Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!

Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani

Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
we ukumsikia? kwamba kutakua na uchaguzi ulio huru kama chaguzi zilizopita...sasa unataka nini?
 
Mwenyekiti wa NEC anateuliwa na rais aliyekuwepo madarakani... Hapa Ni rahisi kumteua mtu anayemtaka ( wa CCM) ili alinde masilahi ya CCM.

Wasimamizi wa uchaguzi (wilaya) wanateuliwa na rais na rais huyohuyo ndio anagombea urais... hizi Ni chenga za macho uwanjani....

Hakuna Uhuru wa maandamano ya amani, hakuna Uhuru wa mikutano kwa wapinzani, hakuna Uhuru wa vyombo vya habari...

Na bado watu wanatekwa, wanapotea, wanapigwa risasi na wengine kununuliwa ili wahame chama na kuingia kingine...

Na bado bunge, mahakama na vyombo vya Dola vinatumikishwa na chama...

Uwanja wa siasa haupo sawa...
Serikali ya makaburu Africa kusini haikuruhusu mtu mweusi kupiga kura au kugombea nafasi ya utawala.Serikali ya Tanzania hairuhusu wapinzani haki ya kuandamana,kuitisha mkutano wa kisiasa mpaka wapende,hakuna tume huru ya uchaguzi.
Tofauti iliopo kati ya serikali hizo mbili ni kwamba Kaburu alikuwa muwazi na Tanzania ni mwongo lakini lengo ni mmoja tu kuweka kundi fulani nje ya utawala maisha.
 
Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo

Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.

Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa ihuru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Zipo sababu za kusema kuwa kwa mazingira tuliyonayo, hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-

1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao kwa pamba.

Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?

2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambazo zina lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki

Hivi unawezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?

Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?

3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?

Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?

Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?

Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!

Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!

Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani

Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
Hakuna hakuna Uchaguzi huru Tanzania kama Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyokuwa na wakasema ni Huru basi na huu utakuwa kama ule.
 
Hao CCM ni wameshazoea wizi wa kura......

Ni sawasawa na mtu anayelula nyama ya mtu, hawezi kuacha.........
 
Anataka tu misaada ila watoa misaada wanajua kauli zake ,watatoa misaada baada ya uchaguzi, pili anataka ikifika september na October wanafunzi watakuwa wamefunga shule aanze kusema kuna corona na waangalizi wasije nchini ...mbinu zao za zamani sana.
 
kolola kama una mume muombe akuoe morning glory, huna hoja unabaki kusema tu upupu, tunataka tume huru, over
Hakuna cha Tume huru hapa, Pambana na hali yenu. Suala la kuwa na mume wakati mie ni mume unanitafuta
 
Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo

Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.

Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa ihuru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Zipo sababu za kusema kuwa kwa mazingira tuliyonayo, hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.

Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:
1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao kwa pamba.

Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?

2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambazo zina lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki

Hivi unawezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?

Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?

3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?

Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?

Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?

Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!

Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!

Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani

Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
 
Uchaguzi huru unanisaidia nini mimi mwananchi wa kawaida? Uchaguzi huru ndo unaingiza watu kama Waitara bungeni. Uchaguzi huru ndo unaingiza watu kama kibajaji bungeni.

Uchaguzi huru ni uchafuzi huru. Ndo maana JPM aliamua kuteua wabunge wake na kuwapa uwaziri. Kwa sababu wale waliochaguliwa kupitia uchaguzi huru hawana msaada.
Kazi tunayo na safari bado ni ndefu kurekebisha elimu na elimu ya uraia hapa nchini ni msiba ambao serikali imeamua kuutelekeza.
 
Vonix said:

Huyo jamaa hajui kwamba kushiriki kwenye uchaguzi, ndiyo kuna uhisiano wa moja kwa moja, maishani mwake
 
Kitwa-Mulomoni
Ngoja nikuulize swali dogo tu......

Hivi lugha ya matusi inatafsiriwa na mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM?

Hivi unategemea tuwe na uchaguzi huru, huku mmoja wa wagombea, ambaye ndiye Rais aliyeko madarakani, ndiye anayeteua Mwenyekiti na wajumbe wake wote wa Tume ya uchaguzi?
Hivyo kushinikiza uchaguzi huru ni kutukana, kubeza na kumkosea adabu mtu au kiongozi? Na hapo ndo hitaji lako litatimizwa? Be serious.
 
Uchaguzi huru unanisaidia nini mimi mwananchi wa kawaida? Uchaguzi huru ndo unaingiza watu kama Waitara bungeni. Uchaguzi huru ndo unaingiza watu kama kibajaji bungeni.

Uchaguzi huru ni uchafuzi huru. Ndo maana JPM aliamua kuteua wabunge wake na kuwapa uwaziri. Kwa sababu wale waliochaguliwa kupitia uchaguzi huru hawana msaada.

Well said comrade...nazi koroma nyingi bunge la 11 tunaitaji wawakilishi wenye fikra mapinduzi katika sera mbali mbali na si ndio au kukomeshana adhabu kila napoangalia bunge nikikuta kuna mswada wa sheria umepelekwa kwa hati ya dharura jua kuna funika kombe mwanaharamu apite...maazimio yana chukua siku nzima bila kupangiana mda ila hoja zinazowahusu walalahoi ni dakika 5 tuu maudhurio hafifuu ...wananchi huu ndio wakati wakuwanyoosha hawa mabwanyenyeeee ata akiiba kura basi chamoto awe amekiona
 
...Ukitaka kujua the highest order of hypocrisy ni kwa wanasiasa wetu wapinzani na chama tawala walipo ambiwa t-shirt zao zimeingia tangia saa nane usiku na zinendelea kuingia uliona makofi na meno yalivyowatoka njee...issue ni kuna walalahoi wana madai yao huko huko ila adi leo wanapigwa dana dana ...never send a monkey to do baboons job
 
Kalamu1
Wewe unasema watanzania tunalialia, basi pendekeza wewe nini kifanyike, ili pasiwepo uchaguzi wa maigizo?
Mkuu, Mystery, naona huwa hunisomi kwa makini. Mbona kila mara napendekeza, na hata kwenye mada yako hii pia nimependekeza?

Nimesema, badala ya kila mara kulalamika, kwa nini tusianze angalau kutafuta njia za kuzuia hayo tunayolalamikia? Hilo ni pendekezo au sio?

Nimeandika, tutafute njia za kuwa na ushahidi unaojitosheleza kuhusu hayo yanayofanywa; hilo sio pendekezo?

Kila mara huko nyuma humu humu JF nimekuwa nikihimiza kungali mapema kabisa, wapinzani na taasisi husika waweke wazi kwamba bila tume huru uchaguzi haufanyiki; yaani utazuiwa na nguvu zote za wananchi walioelimishwa na kuelewa kwamba kura zao zina thamani na haziwezi kuchezewa na yeyote; hii sio kulialia, ni kuchukua hatua. Lakini hakuna aliyesikiliza haya.

Tatizo ni kwamba viongozi wa vyama vya siasa wanataka kazi nyepesi nyepesi, kama hii ya kulalama; kazi ngumu ya kufanya kazi na wananchi hawaiwezi. Hili ndilo tatizo lililopo, na Magufuli anaipenda sana hali hiyo.
 
Hivi lugha za matusi kweli bado mnazitetea? Waliotumia sana lugha hizo awamu hii ni Halima mdee, yule mbunge wa Arusha mjini, na Lissu - hawa wa mwanzo walipopelekwa shule (lockup), walipotoka huko lugha yao ikawa ya staha inayo takiwa na watanzania. Lakini yule kichwa maji Lissu na yaliyompata hajajua ni lugha ipi ya kutumia. Nafikiri Lissu akishinda urais ataambiwa ni lugha ipi atumie.
Huyo unayempapatikia hapa lugha yake huijui? Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom