Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kumpatia ajira Joshua Nassari

Mchafu hachafuki.....
fisiemu ndivyo walivyo...
dogo alishapotea
 
Itabadilisha nini sana sana watu wenye akili tutaendelea kumuona kama bidhaa nyingine tu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ataishia Airport
 
Inawezekan analipwa Kila mwez
Sio lazm ujue Kama anakaz ,
Alishaaunga Juhudi mkono
 
Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
SO unaonaje wakampa ile nafasi ya KWITEGA hapo Arusha Mjini?
 
Wewe ndiyo nasara mwenyewe acha upumbavu wako wewe Joshua
 
Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
Umenikumbusha mbali, akiwa kwenye kampeni hizo hizo, Kule mkoa wa kilimanjaro, alimwita Ibra line( ibrahim shayo) jukwaani akamwaahaidi kazi nyingine Hadi leo anasota stand akihangaika na mabasi mabovu. Isitoshe Ibra line inasemekana ni std 7.
 
Aendelehe tu kula mtori nyama zipo chini kikubwa awe mstahamilivu wakati wake bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…