Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kumpatia ajira Joshua Nassari

Tunajua ahadi ni deni,ukidaiwa sharti ulipe deni mambo mengine yatafuata.

Rais Samia Suluhu Hassan najua bado haujaanza kazi rasmi hasa kutokana msiba mkubwa uliolikumba taifa.Tumempoteza shujaa wa taifa letu Dr J P Magufuli.

Baada ya shughuli za msiba kumalizika tafadhali sana pitia mafile taratibu lipo jina langu file la mwanzo kabisa linasubiria uteuzi either RC au DED au RAS

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mwenzako amelia four cad wewe umeokota joker [emoji453]
 
Sasa zimebaki nafasi za DC,natumaini utamkumbuka huyu mwamba aliyeunga mkono juhudi kisayansi zaidi.
 
Tunamkumbusha Mama huyu kijana alihaidiwa kazi na Mwendazake.

Ulinukuliwa na vyombo vya habari ukisema wewe na Mwendazake ni kitu kimoja.Ikiwa ni wamoja basi onyesha kwa vitendo mpatie kijana wetu uDC au uDED.

Wasalamu Ngongo safarini Morogoro Mikese.
 
Hataki kazi za kuajiriwa huyo ndio maana aliacha ubunge.
Kujiajiri mwenyewe kunatosha
 
Tunamkumbusha Mama huyu kijana alihaidiwa kazi na Mwendazake.

Ulinukuliwa na vyombo vya habari ukisema wewe na Mwendazake ni kitu kimoja.Ikiwa ni wamoja basi onyesha kwa vitendo mpatie kijana wetu uDC au uDED.

Wasalamu Ngongo safarini Morogoro Mikese.
Hatimae imekuwa.
 
Back
Top Bottom