Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Awamu hii ya washamba na malimbukeni tutasikia na kuona mengi sana .
Huyo dogo alishajitoa ufahamu siku nyingi tu ambayo ndiyo sifa kuu ya kuwa mwanaccmKwa hiyo na yeye alinunuliwa? Kama ni hivyo haoni kama atajidhalilisha yeye mwenyewe?
Waafrika shida babu.Yaani RAS amezikwa jana tu leo tayari Nassari unaomba uteuzi?!
Waafrika wana roho za kichawi sana.
Mimi ni mstaafu bwashee.Waafrika shida babu.
Wamesahau kama na we we upon unaizengea hyo nafasi.
Hapana mkuu.Mimi ni mstaafu bwashee.
Kwani wewe ulisoma shule ili uje kuteuliwa?
RAIS siyo cheo cha kisiasa bwashee!Hapana mkuu.
Kwani hicho cheo si ni cha kisiasa mkuu hakina umri maalum,unaweza rudi tena kazini update mafao Mara mbili Bwashee wangu.
kwani akipewa kazi ni lazima ujue?Waswahili wana msemo ahadi ni deni,tafadhali Mheshimiwa Rais Dr JP Magufuli timiza ahadi yako.
Analalamika huku maskani kuwa kaachwa ghubakwani akipewa kazi ni lazima ujue?
Moja ya masharti ya kuunga juhudi lzm yatimizweKwani lazima apewe teuzi ya umma?
Kama anagangania teuzi ni wazi ni mweupe kichwani.
Pia ni blackmail.
hivi wewe ushawahi hata kumuona NasariAnalalamika huku maskani kuwa kaachwa ghuba
Nimekusikia kijana wangu Nassari...Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari.
Muda unakwenda kasi sana tangu kampeni zimalizike na wewe kuibuka na ushindi wa kishindo.Kijana wetu wetu ana mtoto ambae anahitaji matunzo ya kiwango cha nafasi za juu za kiserekali kama Regional Commissioner au High Commissioner au Mkuu wa shirika lolote zuri la umma kama NSSF, PSPF, TANAPA, NCAA, CRDB, KADCO, TANESCO, TANROAD, UWASSA,TBC, na NK.
Kijana wetu Nassari alishiriki kikamilifu kampeni hadi ukapata ushindi wa kishindo,hata kama yule jamaa wa ubelgiji anasema kulikuwa na kosoro nyingi lakini wewe sasa ni Rais wa JMT.Kwa nafasi yako una nafasi kibao kuanzia serekali kuu,serekali za mitaa,mawizara kibao,nafasi za ubunge 10 jimbo la Ikulu.Najua una shughuli nyingi kiasi unaweza kusahau ebu tupia jicho kama ikishindikana basi mpatie nafasi ya RAS kijana asiteseke na kusahaulika.
Wasalamu Ngongo safarini Chato National Park.
Hey mambo mbona ulipotea🤣🤣 eagerly waiting for this beautiful little drama...
Huyu ndio nasari mwenyeweHapo ndo umemuharibia kabisa