johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaaa......!Pamoja na kuwa hivi karibuni nimekuchukia mara baada ya kuhitimu mafunzo yako ya kujitoa ufahama lakini kwa hili nimekupa "LIKE"
Hahahaaaa......!Pamoja na kuwa hivi karibuni nimekuchukia mara baada ya kuhitimu mafunzo yako ya kujitoa ufahama lakini kwa hili nimekupa "LIKE"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ndo umemuharibia kabisa
Mwambie baba asimsahau na kijana wetu Bashite. Yule dogo made in China anakaribia kwenda nursery school...Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
Joshua Nassari nimemdharau na kumuweka kundi moja na wale "covid-19". Yaani kimtizamo hana tofauti na Mzee Halima Mdee.Modes tafadhari msaidieni huyu Joshua kuverify hii ID.
Jana tulikuwa nae hapa Poli barazani anakunywa Konyagi kubwa, atakufa mawazo huyu.
Usije ukamsahau aliyekuwa na Darisalama yake... siku hizi hana vile biskuti vya kumwambia Dudubaya ajisalimishe kwa afande MambonowHuyo kijana hadi nilisha msahau, hivi kumbe yupo lol
Joshua Nassari nimemdharau na kumuweka kundi moja na wale "covid-19". Yaani kimtizamo hana tofauti na Mzee Halima Mdee.
Swala mwananchi kwenda kufanya utalii wa ndani issue ya ushamba inatokea wapi tena jamani watanzania tijifunze mitazamo mbadala tusikariri mawazo mgando yasiyo na alternative vijana wengi mnafeli hapo tuKwani ukisema upo safarini Chato National Park ndo utasikilizwa? Acha ushamba
Wana CCM ndio wenye roho za kichawi na wao ni wachawi. Usiingize Waafrika wote kwenye ushetani wenu.Yaani RAS amezikwa jana tu leo tayari Nassari unaomba uteuzi?!
Waafrika wana roho za kichawi sana.
Amekutuma eti!Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
Aliahidi pia Mil 50 kwa kila kijiji,Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
Ww ni kama tulishawahi kukupa ukuu wa mkoa pahalaMimi pia nahitaji teuzi. Sina kazi. Rais nikumbuke.
Anasubiria mtego aliomwekea 7ya utiki ndo ampachike hapo.Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari....
Una hakika kwamba hana ajira? Kama yuko kitengo maalum?Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari...
Hapana mkuu hamjawahi kunipa ukuu wowote. Nipeni hata ukuu wa wilaya. Maisha magumu haya.Ww ni kama tulishawahi kukupa ukuu wa mkoa pahala
Sasa mbona anakunywa zile pombe za kitoko mchana tena bila kuchanganya japo na soda?Inawezekan analipwa Kila mwez
Sio lazm ujue Kama anakaz ,
Alishaaunga Juhudi mkono
Akome!! Hana lolote huyo!!! Ajiulize Kwanza kina Mpendazoe wako wapi? Ana vinasaba vya usaliti na uasi huyu!!Kweli hali ya uchumi mtaani ni mbaya sana! Yaani Nassari hadi anatumua ID fake kuomba kibarua kwa JPM?!