Rais Magufuli, tumbua viongozi wanaokudhalilisha

Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Unakumbuka alichokosema baada ya chalamila RC mbeya kuwachapa wale wanafunzi? Kwa akili zako unafikir haya yanayotokea hayana Barak za MAGUFULI? Kalabaho. Hayawani maaluni wewe
 
Magufuli akitumbua viongozi wanaomdhalilisha itabidi aanze kujitumbua yeye mwenyewe.

Maana Rais Magufuli ndiye kiongozi anayemdhalilisha sana Rais Magufuli, kupita wengine wote.
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Awafukuze baadhi ya maofisa wa TRA vinara wa Rushwa wanaoshiriki vitendo haramu vya kufunga Account kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani
 
Kwenye utawala huu ni mwendo wa ubabe ubabe ndiyo maana TRA sasa hunyemelea pesa za wafanyabiashara zilizopo kwenye mabenk kisha kuwabambikia kodi kubwa na kuwafungia Account zao kienyeji kishamba kwa nja haramu za kishetani
 
Mzee baba ni umbwa kama umbwa zingine! Msitusumbue sisi hapa!
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Umechelewa.
 
Awafukuze baadhi ya maofisa wa TRA vinara wa Rushwa wanaoshiriki vitendo haramu vya kufunga Account kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani
Acha kuchekesha umma, TRA wakibambika kodi kuna kitengo cha malalamiko na wakizingua unaweza kuwafikisha kwa waziri wa pesa. Vivyo hivyo wakikufungia akaunti kimakosa.
 
Unakumbuka alichokosema baada ya chalamila RC mbeya kuwachapa wale wanafunzi? Kwa akili zako unafikir haya yanayotokea hayana Barak za MAGUFULI? Kalabaho. Hayawani maaluni wewe
Mwanafunzi kupata adhabu ya viboko ni ruksa kisheria. Usichanganye na wahalifu ambao wanatakiwa wafikishwe mahakamani.
 
Ukiiisoma Meseji yako unaonekana wazi upo kwa ajili ya kutetea waharifu kwa kuuficha kwa kutumia Matukio ambayo yamefanywa kwa Waharifu.
Hivi Mtu anawageuzi Watu Mandondocha wewe unaona huyo mtu ana utu n.k. . Jitathimini nawewe utakuwa sehemu ya Waharifu hao au utakuwa ni mvuta Bangi ambaye unaona uharamu ni poa tuuu
Unakumbuka alichokosema baada ya chalamila RC mbeya kuwachapa wale wanafunzi? Kwa akili zako unafikir haya yanayotokea hayana Barak za MAGUFULI? Kalabaho. Hayawani maaluni wewe
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Angekuwa haridhiki na wayafanyayo angewachukulia hatua. Tena naamini uyaonayo wanatenda chini ya kiwango akitakacho.
 
Ahaaahh!! 😞 na huku kunamitano tena...?
 
Angekuwa haridhiki na wayafanyayo angewachukulia hatua. Tena naamini uyaonayo wanatenda chini ya kiwango akitakacho.
Tumpe muda,sio sahihi kusema anaruhusu huu ufedhuli. Hakuna kiongozi anayefuata misingi ya sheria atakubali huu ufedhuli.
 
Kama na wewe unakubali yanayofanyika ni makosa inaonekana zimeanza kukuingia taratibu.Sasa anza kujiuliza chanzo cha tatizo ni nini au Nani,majibu baki nayo.
 
Chagu wa malundi:
Ni wewe kweli wa kukosoa utendajikazi wa serikali hii uliyoipigania kwa nguvu zako zote?
Nikupe angle za kuona mtakavyocharazwa bakora za kutosha siku za usoni na msiweze kujitetea. Mlivyoitwa wanyonge na yeye ni mtetezi wa wanyonge ulitakiwa kujua alimaanisha kuwa ninyi ni wanyonge na mtaendelea kuwa wanyonge Hadi atakapotwaliwa mawinguni!
1: wafanyabiashara unajua walichofanyiwa na wanachofanyiwa Hadi Sasa.
2: ajira kuminywa ili mkose nguvu na jeuri ya pesa.
Na huu ndio uzalendo unaofundishwa kwa kulambwa bakora. Kuwa mpole.
 
Back
Top Bottom