Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Lakini mbona mkuu mwenyewe hachapi viboko, wanaochapa ni vilaza tu?
Yeye nwenyewe hapendi kufuata sheria wala katiba. Na wateule wake wanamuiga.
Kosa kubwa ni ujinga wa Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app