Rais Magufuli, tumbua viongozi wanaokudhalilisha

Chagu wa malundi:
Ni wewe kweli wa kukosoa utendajikazi wa serikali hii uliyoipigania kwa nguvu zako zote?
Nikupe angle za kuona mtakavyocharazwa bakora za kutosha siku za usoni na msiweze kujitetea. Mlivyoitwa wanyonge na yeye ni mtetezi wa wanyonge ulitakiwa kujua alimaanisha kuwa ninyi ni wanyonge na mtaendelea kuwa wanyonge Hadi atakapotwaliwa mawinguni!
1: wafanyabiashara unajua walichofanyiwa na wanachofanyiwa Hadi Sasa.
2: ajira kuminywa ili mkose nguvu na jeuri ya pesa.
Na huu ndio uzalendo unaofundishwa kwa kulambwa bakora. Kuwa mpole.
Kwa hiyo unataka tukae kimya hata kama viongozi wanakosea?
 
Huu uchangiaji wa member wa JF wa awamu hii uniniacha hoi,inabidi uwe na akili kubwa kuwaelewa baadhi ya watu
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
HAKUNA KUTUMBUA WALA NINI
WEE HUSHANGAI WALIYOWATEUA WAKO KIMYA...ACHA TUENDELE/MUENDELE KUPIGWA BAKORA MPAKA AKILI ZIKAE SAWA

OVA
 
5532890.jpg
 
Inaonekana yeye mwenyewe anabariki haya maujinga ujinga,hili jambo limefanywa mara ya kwanza amekaa kimya,limejirudia tena mara ya pili,bado kapiga kimya,

Mbona Yule aliyeshindwa kuapa alimtumbua fasta fasta?
Mara ya kwanza hakukaa kimya alimpongeza Chalamila!
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Mkuu nae kwenye mmamuzi huwa anajishauri sana, uongo ndugu zangu?
 
Kama wateule wanafanya mambo ya kijinga na mteuzi anaangalia tu basi na yeye tunamjumuisha kwenye kundi la wajinga
 
Mara ya kwanza hakukaa kimya alimpongeza Chalamila!

Aiseeh!!
anampongeza mteule wake kwa kudhalilisha wengine?basi sawa tuendelee...

Viongozi wa nchi hii wanakosea sana kufikiri WaTanzania wote ni wajinga wajinga, wasipoangalia baadhi ya matendo yao ipo siku yatakuja kuwasha moto hapa nchini wasiamini macho yao!!
 
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.

Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.

Anakamata watu wanaotumia walemavu kama kitega uchumi,wanawachalaza bakora akiwa na waziri mdogo kama vile hawajui ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasemaje juu ya usawa mbele ya sheria.

Mbali ya hayo vipi kuhusu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa? Vipi kuhusu mamlaka ya kutoa adhabu?

Nini ambacho kinaendelea hapa Tanzania? Wateule wa rais ambao hawajui sheria za nchi? Mbona akina L Mrema walikamata bunduki,wakwepa kodi na wala rushwa hatukuona watu wakichapwa bakora?

Mkuu wa kaya safisha hawa wanaoharibu taswira ya utawala wako.
Kwa ujinga zaidi,"eti KUNA WAZIRI ANAYEHUSIKA NA UTAWALA BORA!
 
Weka itikadi zako za Cdm pembeni,jadili ishu kama mtanzania. Hakuna kiongozi anaejua wajibu wake anaweza kuruhusu huu ubaradhuli. Najua uliweka pesa nyingi upate ubunge,wananchi walikukataa tulia tuli na Chadema yako
Kwani kuwa CCM ndio kuwa mwizi na mvunja sheria?Chama siyo utaifa.
 
Back
Top Bottom