Rais Magufuli, tumbua viongozi wanaokudhalilisha

Kwa hiyo unataka tukae kimya hata kama viongozi wanakosea?
 
Huu uchangiaji wa member wa JF wa awamu hii uniniacha hoi,inabidi uwe na akili kubwa kuwaelewa baadhi ya watu
 
HAKUNA KUTUMBUA WALA NINI
WEE HUSHANGAI WALIYOWATEUA WAKO KIMYA...ACHA TUENDELE/MUENDELE KUPIGWA BAKORA MPAKA AKILI ZIKAE SAWA

OVA
 
Inaonekana yeye mwenyewe anabariki haya maujinga ujinga,hili jambo limefanywa mara ya kwanza amekaa kimya,limejirudia tena mara ya pili,bado kapiga kimya,

Mbona Yule aliyeshindwa kuapa alimtumbua fasta fasta?
Mara ya kwanza hakukaa kimya alimpongeza Chalamila!
 
Mi5 tena. Kazia hapo hapo mzee Magu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kumbuka kila mtanzania ana wajibu wa kuheshimu sheria za nchi. Kushabikia upigwaji bakora hadharani ni kukosa busara.
 
Mkuu nae kwenye mmamuzi huwa anajishauri sana, uongo ndugu zangu?
 
Kama wateule wanafanya mambo ya kijinga na mteuzi anaangalia tu basi na yeye tunamjumuisha kwenye kundi la wajinga
 
Mara ya kwanza hakukaa kimya alimpongeza Chalamila!


Aiseeh!!
anampongeza mteule wake kwa kudhalilisha wengine?basi sawa tuendelee...

Viongozi wa nchi hii wanakosea sana kufikiri WaTanzania wote ni wajinga wajinga, wasipoangalia baadhi ya matendo yao ipo siku yatakuja kuwasha moto hapa nchini wasiamini macho yao!!
 
Kwa ujinga zaidi,"eti KUNA WAZIRI ANAYEHUSIKA NA UTAWALA BORA!
 
Weka itikadi zako za Cdm pembeni,jadili ishu kama mtanzania. Hakuna kiongozi anaejua wajibu wake anaweza kuruhusu huu ubaradhuli. Najua uliweka pesa nyingi upate ubunge,wananchi walikukataa tulia tuli na Chadema yako
Kwani kuwa CCM ndio kuwa mwizi na mvunja sheria?Chama siyo utaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…