Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA