BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
Anamuonea tuuuuuuuu bureeee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hebu rudia tafadhali Magu afanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamuonea tuuuuuuuu bureeee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hebu rudia tafadhali Magu afanyeje?
Kuongea kote anakofanya kwa miaka mitano wakati wenzake kawafunga mdomo hakujakutosha?Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
😂😂😂Anaogopa lugha itabadilishwa na kuwa kingereza then itakuwa shida
Utajiri wa ulaya kwa standard za Africa ni nini?Umasikini ni nn. Au umasikini kwa standard za ulaya.
Pamoja na kwamba simkubali ki maamuzi ila kusema anauelewa mdogo sio kweli.Yule mwamba hutoa takwimu bila karatasi .Uelewa mdogo maana take nini ? Mtu mwenye digrii tu ana uelewa mkubwa sembuze PhD + uzoefu wa ubunge na uwaziri na aasa uraisi miaka 5.Huwezi kusoma chemistry na hesabu kama una uelewa mdogo. Labda ungesema ana madharau, haamini wengine nk ningekuelewa.Huyu magu hawez kabisa kujieleza na hana haiba ya uanasiasa, nimtu mwenye jeuri majivuno ka kiburi. Na sikuzote watu wenye uelewa mdogo hutumia nguvu kubwa kwenye mambo yake. Hivo swala la inteeview ni ndoto kwake
Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Anagombea urais wa tz sio wa hayo mataifa. Muulize lissu alivyofanya interview bbc na voa leo anafaidikaje kwa wananchi wa tanzania?
Mkuu tujiulize, ni kiongozi gani wa afrika alisha muhoji macron, au trump au queen elizabeth.
Sisi tukikataa wakorofi
Hana uwezo. He is simply incapacitated.Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Tatizo lugha kakaBBC imemtafuta kwa hali na mali kuweza kumuhoji bila mafanikio. Mpaka juzi, Zuhura Yunus anasema Magufuli anakwepa kabisa kufanya mahojiano nao. Alipoulizwa Bashiru kwanini hilo liko hivyo, akasema hajui ni kwanini na hawezi kuingilia protokali ya Rais Magufuli.
Genius ww ulipata wapi icho kipawaWao maraisi wa ulaya mbona hawahojiwi na maraisi wa africa
Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media.?
mbona akiwa tofauti na mkoa niliopo hua namskia kupitia tv, radio na mengineo.! au hizo sio media.?
Ifike wakati watanzania tujitambue, kama kuna changamoto kwa serikali uliopo madarakani bc usidhan huyo mwingine unayemtaka atakuja na solution hapo kwa papo, kama n ajira tujue ajira n janga la dunia mzima.
Binafsi yeyote atakaye-shinda mm naona n sawa tuu, maana mwisho wa siku ataanza kuangalia tumbo lake kwanza ndipo hayo mengine yafuate
Hujui hata umuhimu wa raisi kuongea na International Media!!!?
kuna faida nyingi mojawapo ni kujenga confidence kwa current na future investors....Tz
Kwahiyo unashauri watu wasihoji..!??Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media.?