kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Unajichanganya sana mzee.Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media.?
mbona akiwa tofauti na mkoa niliopo hua namskia kupitia tv, radio na mengineo.! au hizo sio media.?
Ifike wakati watanzania tujitambue, kama kuna changamoto kwa serikali uliopo madarakani bc usidhan huyo mwingine unayemtaka atakuja na solution hapo kwa papo, kama n ajira tujue ajira n janga la dunia mzima.
Binafsi yeyote atakaye-shinda mm naona n sawa tuu, maana mwisho wa siku ataanza kuangalia tumbo lake kwanza ndipo hayo mengine yafuate
Pale unapomuona kwenye kampeni zake kunakuwa na mahojiano?. Hatutaki aonekane kwenye Tv maana hii kila siku anakuwa live tunataka mahojiano asiwapeleke wakina bashiru wao sio wagombea.
Halafu "yeyote akishinda ni sawa" wewe utakuwa na matatizo kama huoni utofauti.