Ndugu sio viongozi waulaya wamuhoji ila ni waandishi wa habari wamuhoji, trump anahojiwa kila kukicha na waandishi wa habariMkuu tujiulize, ni kiongozi gani wa afrika alisha muhoji macron, au trump au queen elizabeth.
Sisi tukikataa wakorofi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu sio viongozi waulaya wamuhoji ila ni waandishi wa habari wamuhoji, trump anahojiwa kila kukicha na waandishi wa habariMkuu tujiulize, ni kiongozi gani wa afrika alisha muhoji macron, au trump au queen elizabeth.
Sisi tukikataa wakorofi
Sipangiwi mimiHili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA