BBC imemtafuta kwa hali na mali kuweza kumuhoji bila mafanikio. Mpaka juzi, Zuhura Yunus anasema Magufuli anakwepa kabisa kufanya mahojiano nao. Alipoulizwa Bashiru kwanini hilo liko hivyo, akasema hajui ni kwanini na hawezi kuingilia protokali ya Rais Magufuli.
Umeandika nje ya context.Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media.?
mbona akiwa tofauti na mkoa niliopo hua namskia kupitia tv, radio na mengineo.! au hizo sio media.?
Ifike wakati watanzania tujitambue, kama kuna changamoto kwa serikali uliopo madarakani bc usidhan huyo mwingine unayemtaka atakuja na solution hapo kwa papo, kama n ajira tujue ajira n janga la dunia mzima.
Binafsi yeyote atakaye-shinda mm naona n sawa tuu, maana mwisho wa siku ataanza kuangalia tumbo lake kwanza ndipo hayo mengine yafuate
Kwa ufupi n kwamba, kama kigezo cha yeye kushinda n kuwa mbele ya media bc angefanya hvy na hayo ya kuwa mbele ya media sio sheria kwamba lazima awepo, kama kuna mwingine ameona yeye n bora kuwepo mbele ya media bc atafanya hvy ili apate anachotakaUmeandika nje ya context.
Kufanya mkutano ya kampeni ni jambo lingine na kufanya mahojiano ni jambo lingine tofauti.
Mahojiano na waandishi yanatoa nafasi kwa watu kukuhoji, kukupima upeo wako na kukutaka uzungumze kitu kwa akili yako nje ya kile ulichokaririshwa. Kifupi mahojiano halisi ni kama kufanya mtihani kwa mwanafunzi.
Magufuli hayuko tayari kwa hilo.
Hujui hata umuhimu wa raisi kuongea na International Media!!!?Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media.?
mbona akiwa tofauti na mkoa niliopo hua namskia kupitia tv, radio na mengineo.! au hizo sio media.?
Ifike wakati watanzania tujitambue, kama kuna changamoto kwa serikali uliopo madarakani bc usidhan huyo mwingine unayemtaka atakuja na solution hapo kwa papo, kama n ajira tujue ajira n janga la dunia mzima.
Binafsi yeyote atakaye-shinda mm naona n sawa tuu, maana mwisho wa siku ataanza kuangalia tumbo lake kwanza ndipo hayo mengine yafuate
Anagombea urais wa tz sio wa hayo mataifa. Muulize lissu alivyofanya interview bbc na voa leo anafaidikaje kwa wananchi wa tanzania?Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani.
Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua.
Ahsante kwa kutuelewa wananchi wako.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
mnataka wamuulize nani aliagiza Lisu apigwe risasi spate kigugumiz chs kujibu....Hujui hata umuhimu wa raisi kuongea na International Media!!!?
kuna faida nyingi mojawapo ni kujenga confidence kwa current na future investors....Tz
Hv kwan n lazima kukaa mbele ya media hvy mnavotaka, kwan akiwa kwenye kampeni pale sio mbele ya media...
Eti akae mbele ya video ajibu maswaliHebu rudia tafadhali Magu afanyeje?
Ndio kachaguliwa na watanzania , pia kuna maswali mengi Sana watanzania hawana majibu na yy ndio wakutoa hayo majibu na hajawahi hata siku moja kutoa nafasi yakuulizwa chochote , swala LA kuulizwa maswali na kuyajibu pia inajenga imani Fulani kwa wananchi anaowaongoza , sio yeye kuongea tuu pasipo kuulizwa chochote ,Amechaguliwa na Watanzania, anatakiwa kuongea na Watanzania!