Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

Unajichanganya sana mzee.
Pale unapomuona kwenye kampeni zake kunakuwa na mahojiano?. Hatutaki aonekane kwenye Tv maana hii kila siku anakuwa live tunataka mahojiano asiwapeleke wakina bashiru wao sio wagombea.

Halafu "yeyote akishinda ni sawa" wewe utakuwa na matatizo kama huoni utofauti.
 
Mkuu urais ni taasisi kubwa no one katika nchi.so inatakiwa iongozwe na MTU mwenye uwezo na upeo mkubwa katika kila jambo.
Sasa kuhojiwa tu na MTU kama zuhura uunus amabae hata sio hata PhD holder unapiga chenga.apishe wenye uwezo washike usukani,kwa kuwa yeye alisukumizwa huko.
 
Asubutuuu!!!
 
Mkuu kwenye kampeni ni hotuba tu hakuna maswali yanayoulizwa na raia wala wana habari.
 
Anagombea urais wa tz sio wa hayo mataifa. Muulize lissu alivyofanya interview bbc na voa leo anafaidikaje kwa wananchi wa tanzania?
Mkuu mahojiano Kati ya Lissu na bbc ama voa yalileta tija kubwa watu wengi walisikia mengi kutoka kwa Lissu na hii nyomi unayoiona kwenye mikutano ya kampeni ni zao la hayo mahojiano.

Kwanini?Kwasababu kipindi anafanyia mahojiano story zake zili trend mno hivyo kufanya watu wengi kumfatilia.
 
Wewe ndiyo hujitambui !!. Unapofanya mahojiano ni tofauti na mtu anayefanya campaign. Unafanya mahojiano au mdahalo unaulizwa maswali ya msingi na kuyatafutia majibu.

Lakini unapofanya campaign unasema unayoyapenda wewe. Kwenye mapungufu yako hutapaingelea, na hapo ndipo palipo na shida
 
Wao maraisi wa ulaya mbona hawahojiwi na maraisi wa africa
 
Anagombea urais wa tz sio wa hayo mataifa. Muulize lissu alivyofanya interview bbc na voa leo anafaidikaje kwa wananchi wa tanzania?
Imesababisha wananchi wawe na imani naye. Kama huwezi kuona faida yake, basi huko Ccm mna mapungufu sana
 
Hapangiwi....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata kwenye hili watu wanatetea. kuweni na aibu jamani
 
aisee, hapa ni shida kabisa mbona kikwete na mkapa walikuwa wanaongea sana na media, kwanza wakitoka tu safari wanaongea hata wakiwa nchini wanapigiwa simu wanaongea dah mzee baba
 
aisee, hapa ni shida kabisa mbona kikwete na mkapa walikuwa wanaongea sana na media, kwanza wakitoka tu safari wanaongea hata wakiwa nchini wanapigiwa simu wanaongea dah mzee baba
Mkuu tujiulize, ni kiongozi gani wa afrika alisha muhoji macron, au trump au queen elizabeth.
Sisi tukikataa wakorofi
 
We ulishaona maraisi wa ulaya wanahojiwa na media za kiafrika kirahisi. Yani sisi ndo tumejishusha thamani wenyewe
 
aisee, hapa ni shida kabisa mbona kikwete na mkapa walikuwa wanaongea sana na media, kwanza wakitoka tu safari wanaongea hata wakiwa nchini wanapigiwa simu wanaongea dah mzee baba
ukiona mtu anaongea kwa jazba na kufoka ujue ni mweupe,anatumia jazba na kufoka kuficha udhaifu.interviews ni maswali
 
ukiona mtu anaongea kwa jazba na kufoka ujue ni mweupe,anatumia jazba na kufoka kuficha udhaifu.interviews ni maswali
Kwani misaada na wawekezaji wanatoka Africa kwenda huko duniani au duniani kuja Africa?Maskini hawezi kumuhoji tajiri hata siku moja coz maskini anamuhitaji tajiri kuliko tajiri anavyomuhitaji
 
Hivi unawajua waandishi wa habari wa Aljazira wewe ,BBC au CNN??achana kabisa na hizo media.Mbele ya kampeni anazofanya maeneo mbalimbali nchini Tz kwani kuna sehemu anatoa nafasi ya kuuliza maswali?usifananishe hoja za kwenye kampeni na interviews za hayo mashirika ya habari.
 
Kwani misaada na wawekezaji wanatoka Africa kwenda huko duniani au duniani kuja Africa?Maskini hawezi kumuhoji tajiri hata siku moja coz maskini anamuhitaji tajiri kuliko tajiri anavyomuhitaji
Umasikini ni nn. Au umasikini kwa standard za ulaya.
 
magufuli kazidisha media unazozisikia zote kazi yake kumsifia tu, ina maana hakosei ? magufuli ni rais mbovu kuwah kutokea hawez kukubali kuhojiwa na IM sababu ana blunder nying asizoweza kuzitolea maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…