Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

Kuongea kote anakofanya kwa miaka mitano wakati wenzake kawafunga mdomo hakujakutosha?
 
Alipoingia 2015,tulisema huyu mtendaji sio msemaji.
Kama una maswali juu ya serkali,mtafute msemaji wa serkali.
Kama wana maswali juu ya wizara,wamtafute waziri husika.
Kama ni wananchi wana haja nae,wamwendee mwakilishi wao wa jimbo (Mbunge),atayafikisha kwa Rais.
Kama mataifa wana haja nae,basi kuna mabalozi wa serkali,wawahoji hukohuko,laaah hawakuwapata,basi wamtafute Kabudi.
Muacheni mtendaji,ana mambo mengi ya kufanya bado anahitaji muda wa kutekeleza.
Km hakuongea na vyombo vya ndani kwa miaka 5,hivyo vya nje akafanye nn huko?
Subiri akichaguliwa atawaita waandishi wote ikulu,mtauliza maswali yenu yatunzenu,tu.
 
Huyu magu hawez kabisa kujieleza na hana haiba ya uanasiasa, nimtu mwenye jeuri majivuno ka kiburi. Na sikuzote watu wenye uelewa mdogo hutumia nguvu kubwa kwenye mambo yake. Hivo swala la inteeview ni ndoto kwake
Pamoja na kwamba simkubali ki maamuzi ila kusema anauelewa mdogo sio kweli.Yule mwamba hutoa takwimu bila karatasi .Uelewa mdogo maana take nini ? Mtu mwenye digrii tu ana uelewa mkubwa sembuze PhD + uzoefu wa ubunge na uwaziri na aasa uraisi miaka 5.Huwezi kusoma chemistry na hesabu kama una uelewa mdogo. Labda ungesema ana madharau, haamini wengine nk ningekuelewa.
 

Alipotuambia watanzania kuhusu corona kwenye mbuzi na mapapai na kuikataa lockdown walimsikia sanaaa na wakamwogopa na kumchukia zaidi
 
Anagombea urais wa tz sio wa hayo mataifa. Muulize lissu alivyofanya interview bbc na voa leo anafaidikaje kwa wananchi wa tanzania?

Kwa hiyo unataka kusema anachokiongea kwenye majukwaa kila mtu anakielewa. Hakuna mwenye maswali wala hawezi kutolea ufafanuzi baadhi ya matamko yake yenye kuleta maswali.
 
Mkuu tujiulize, ni kiongozi gani wa afrika alisha muhoji macron, au trump au queen elizabeth.
Sisi tukikataa wakorofi

Unachanganya mada, issue sio kiongozi wa Afrika kuhoji Trump Bali media kuhoji rais /mgombea. Na kuhusu viongozi wa Afrika kuhoji marais wa USA mbona ziko nyingi tuu wenyewe wanaita MAZUNGUMZO.
 
Hana uwezo. He is simply incapacitated.
 
Afadhali akae tu, wakimsikia Ndio watathibitisha kilevwanacho dhania.
 
Tatizo lugha kaka
 

Huna akili
 
Kwahiyo unashauri watu wasihoji..!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…