Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Kushinda ni kushinda whether kihalali au kimbinu yote iwe lazima narudia lazima JPM afike 2025

Kama ni hivyo, hizi kelele za kwamba anakubalika sana mnazitoa wapi?
 
Kiranga,
Nikujibu nini mkuu?

Unataka serikali iwafunge kamba wananchi wake au ulitakaje na ridhiki zao(wananch) za kila siku nani anakuwa muwajibikaji?

Kumbe kama hauna chama basi utakuwa shabiki wa timu PINGA, MAANDAMANO, KOSOA kiwe kizuri au kibaya, lakini huu ugonjwa si mliombea uje au kwa vile ameupata DJ ndio mnafanya kushauri?

Corona haina CHAMA
 
"Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?" - JPM

maneno haya mujarab kabisa.

watu huku mtaani wanapiga jaramba kumsubiri Bashite atakapokuwa "nobody" ndiposa atajua jina lake halisi kumbe ni Daudi!!
Haya maneno mliyasema kipindi kile cha ridhiwani, sasa hivi nani anakumbuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na anamnyima usingizi, na Kigogo anachofanya anakuja kuropoka kitu ili mzee afanye kinyume chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kunitajia chochote alichowahi kusema huyo kigogo kikawa kweli?

Kwa hiyo kwa akili zenu manafikiri Magufuli hawezi kutenda alichokusudia kwakuwa kigogo kasema?

Kigogo anawakamata nyumbu wenzie wasiojua kitu wanameza tu kila kitu kinachokuja mbele yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom