Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kushinda ni kushinda whether kihalali au kimbinu yote iwe lazima narudia lazima JPM afike 2025
Kama ni hivyo, hizi kelele za kwamba anakubalika sana mnazitoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushinda ni kushinda whether kihalali au kimbinu yote iwe lazima narudia lazima JPM afike 2025
Mtaani kwenu Kuna case ngapi za Corona?Asichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
sio cable tu mpaka fyuzi hahahUna maanisha nini? yaani achomoe cable kabisa
mkuu ni hawa Broiler au wa kienyeji? na nataka nijue pia wa nyama au mayai?
Nabii haheshimiki nyumbani kwake! Ni masuala ya kawaidaKama ni hivyo, hizi kelele za kwamba anakubalika sana mnazitoa wapi?
Nabii haheshimiki nyumbani kwake! Ni masuala ya kawaida
Pole nadhani nawasiliana na kindaHujaonaga manabii nini dogo?
Nauliza Mchakato wa Tume huru ya uchaguzi vipi ??
Haya maneno mliyasema kipindi kile cha ridhiwani, sasa hivi nani anakumbuka?"Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?" - JPM
maneno haya mujarab kabisa.
watu huku mtaani wanapiga jaramba kumsubiri Bashite atakapokuwa "nobody" ndiposa atajua jina lake halisi kumbe ni Daudi!!
Na anamnyima usingizi, na Kigogo anachofanya anakuja kuropoka kitu ili mzee afanye kinyume chakeNimegundua huyu jamaa anamsoma sana Kigogo2014...[emoji16][emoji16]
Wa hovyo ni CCM iliyoahidi kugawa fedha kila Kijiji badala yake vijiji havioni hizo fedha
Basi endelea kupaza sauti za kumsifuMbowe yuko late 50s, halafu mbowe hana huo ugonjwa, sio kwamba hawezi kupata, ila hana. Acha ushabiki wa kitoto.
Hivi unaweza kunitajia chochote alichowahi kusema huyo kigogo kikawa kweli?Na anamnyima usingizi, na Kigogo anachofanya anakuja kuropoka kitu ili mzee afanye kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app