Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

a
 
Fake information.
 
Sasa ndugu unafikiri rais anachaguliwa nawanachama tu siokweli unaweza amasisha nauliowamasisha wakakuchapa hata mm niccm lakini tumepigika wote au tunaisoma namba ngoja nikupe orodha ya makundi yalioumizwa utawala huu alafu jiulize ndani yake hawamo ccm unafikiri wataipa ccm alafu utanijibu
1 wavuvi
2 vyeti feki
3 korosho
4 pamba
5 kahawa
6 bomoabomoa bila fidia
7ccm waliosota nafasizao kuchukuliwa na wageni toka upinzani
8 kupandamadaraja na mishahara kwa watumishi
9 ajira watu wakada mbalimbali wapo mtaani
10 ukame wamzunguko wapesa
11 rambirambi kagera
12 kutoweka watu na kushambuliwa nawasio julikana
13kwa mujibu wa mh lisu kunawatu wanauwawa sana hifadhini
Nk naona niishie hapo kwasasa nisikukatishe tamaa ila nifikra zangu tu sio mipango mipango anayo mungu lolote linaweza kutokea
 
Hilo la picha kushangilia vituo tupu vya kujiandikisha nalikumbuka sana.
Ile Picha ilikua kwenye kujiandikisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambayo tayari chadema walikua wameisusia Ndo maana uliona Picha za kucheka vituo kua wazi ila kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura watu walijitokeza tena kulikua na foleni kubwa tu especially kwa mazingira ninayoishi mimi
 
Nani kakuambia atashindwa? Kuwa siliasi kidogo
 
Ni mtazamo tu, lakin tukumbuke bado siku 10
 
Rais Magufuli ushindi ni 98%

October 28 Unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
 
Ni mtazamo tu, lakin tukumbuke bado siku 10
Bahati mbaya nyie ndio mnajua kua atashinda kama mlivomdanganya miaka yote mitano kwamba upinzani umekufa lakini mpaka Leo haamini anachokiona kwa macho yake na mpaka sasa mnamfariji lakini ye mwenyewe ameishasoma upepo anaona hakuna matumaini tena ya kushinda kwenye sanduku la kura ndo maana anaongea mpaka anapiga magoti ili aonewe Huruma au ategemee jeshi
 
Ikulu sio chumba cha kupanga,kiasi kwamba baada ya kuondoka mpangaji huyu ,chumba hicho aweza ingia mtu yoyote,haijalishi ni mhuni, mjinga au mpumbavu.


Lissu kamwe, narudia tena, lissu kamwe hawezi na hataweza kukabidhiwa ikulu, labda jua libadili uelekeo.
 
Watu walihama huko kitambo wakaja......

Comrade ni watu gani unaowazungumzia hapo juu? Na wananihusu nini katika kuchangia mada za jf?
Mimi sio comrade Tafadhali nakukumbusha tu kua hizo propaganda zilipitwa na wakati wenzenu Sikh hizi hawazitumii tena coz wananchi wameishaelewa nini cha kufanya tarehe 28
 
Kinachowadanganya ni;

Mafuriko mnayoyaona ambayo hayawezi kufikia ya Lowasa 2015

Mataifa ya nje kufuatilia kwa karibu uchaguzi huu
 
Mimi sio comrade Tafadhali nakukumbusha tu kua hizo propaganda zilipitwa na wakati wenzenu Sikh hizi hawazitumii tena coz wananchi wameishaelewa nini cha kufanya tarehe 28
Wenzetu wapi comrade mbona huwataji? Kama unafikiri tarehe 28 hatutampigia kura Magufuli na wagombea wa ccm nikupe pole sana.
 
Yote heri. Na pia labda watu walikuwa na mahitaji ya kitambulisho cha ki-Serikali kwa matumizi yao mengine.
 
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…