Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Swali la kipuuzi,mgombea wa chama chetu hawezi kupata kura laki 2Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Mfano mfu.Asishindwe yeye amekuwa Mungu? Mbona Kabuye alimshinda ubunge tena mara mbili
Nadhani ungemuuliza twitter maana humu jf sijaona jina lake kama memberRais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Mara zote huwa napenda kuwakumbusha wakati wa uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
CCM ilihamasisha sana watu wake tofauti na nyie mlikuwa mnawaambia wagomee, tena wengine walikuwa wanapost picha mitandaoni kwa furaha kabisa kwamba vituoni hakuna watu na hilo ndio litawagharimu, msitegemee kupata ushindi eti kutoka kwa wana CCM wanaomchukia JPM
Kama ndivyo basi hata ccm wasijipe uhakika 100% kwamba wana wapiga kura wengi wali on is finish aYote heri. Na pia labda watu walikuwa na mahitaji ya kitambulisho cha ki-Serikali kwa matumizi yao mengine.
Mkuu amini nikwambiacho na akili yako uanze kuiandaa kisaikolojia kuwa JPM mitano tena, bila matusi wala nini
Ni Mtanzania 'Mpuuzi' tu na mwenye Roho Mbaya na Chuki za Kiasili ndiyo anaamini kuwa Dk. Magufuli hawezi shinda wakati ameshashinda tayari.Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
IKULUYASHANGAZIYAKOOORais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Mimi sijasema hutampigia kura wala sijasema kwamba hatapata kura nyingi ila ukweli Ni kwamba hatashinda kwa sanduku la kura that's all what I try to tellWenzetu wapi comrade mbona huwataji? Kama unafikiri tarehe 28 hatutampigia kura Magufuli na wagombea wa ccm nikupe pole sana.
Ni kweli! Hawezi kushindwa kwenda chato kutafuna pensheni yake.Magufuli hawezi kushindwa
Umeanza kuwa mpiga ramli comrade?Mimi sijasema hutampigia kura wala sijasema kwamba hatapata kura nyingi ila ukweli Ni kwamba hatashinda kwa sanduku la kura that's all what I try to tell
Kura yangu simpi ng'ooMagufuli hata akishindwa uchaguzi na figisu zake zote ni king'ang'anizi hivyo ni ngumu sana kuwa tayari kuachia madaraka.
Kwa kipindi chake tu hiki cha kwanza cha miaka 5 ameonyesha kila dalili za kutaka kuwa Rais asiye na ukomo wa madaraka.
Watanzania tuamke Magufuli anaharibu nchi.
We shetani wa kijani shangazi ya MTU anahusika vipi hapoIKULUYASHANGAZIYAKOOO
Lakini baadae muda uliongezwa na watu wakatishwa Hadi maofisini watu wakamiminika kuhakiki.maana wengi Wana vitambulisho.Hilo la picha kushangilia vituo tupu vya kujiandikisha nalikumbuka sana.
Yaani unakosea sana unapoongelea habari za Lowasa 2020 huyo Lowasa alikua wa 2015 sasa tupo mwaka 2020 wengi wa wapiga kura wa Lowasa hawapo tena hata wengi waliompigia Magufuli hawapo tena kwasasa tuna wapiga kura wa October 28 na hao watakaojitokeza kupiga kura ndio watakaoamua mshindi wa 2020!!!Kinachowadanganya ni;
Mafuriko mnayoyaona ambayo hayawezi kufikia ya Lowasa 2015
Mataifa ya nje kufuatilia kwa karibu uchaguzi huu
Leta mfano hai wa LumumbaMfano mfu.
Kama wewe unavyopiga ramli kwamba Magufuli atashinda???Umeanza kuwa mpiga ramli comrade?
Wewe jamaa umenikumbusha kitu Cha kweli kabisa.halafu una kumbukumbu Kali Sana,Kisha una akili.Ile Picha ilikua kwenye kujiandikisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambayo tayari chadema walikua wameisusia Ndo maana uliona Picha za kucheka vituo kua wazi ila kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura watu walijitokeza tena kulikua na foleni kubwa tu especially kwa mazingira ninayoishi mimi
Comrade una mawazo mfu sana, Lissu awezi kushinda kamwe wala uyo mtetezi wa wasenge Amsterdam hana madhara yeyote kwetu.Kawekwa Kati kulia nguvu ya umma, kushoto, Robert Amsterdam anafile kesi direct the Hague, kaskazini usa, ulaya, china na jumuia za kimataifa zinataka ngoma ipigwe sawa ili kuleta haki.Huku Askari tegemeo awaaminiki awajaongezewa mishahara 5 yrs wanaweza wasitii maagizo, Huku wakiweka uchaguzi huru hofu ya kutoboa ni ngumu,
Wana mtihani mzito sana