Nawaaminia Waislamu na najua kama Mheshimiwa Rais atashindwa Kumwajibisha DC wake Jerry Muro basi Wao watamuwajibisha kwa namna yao ya Kipekee kabisa na nitashangaa kuona Waislamu wote nchini Tanzania wanalinyamazia hili. Nawakubali sana Waislamu hivyo msiniangushe katika hili na lazima DC Jerry Muro ama awaombeni Radhi haraka au asubiri yale Maombi yenu Maalum na ya Kipekee ya Wakaidi Kwake Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikubali kabisa Waislamu tafadhali.
Kwa hiyo Manara Hana uwezo wa kufundisha madrasa! Maana ukisema ameikashifu dini napata shida kuelewa HOW? KUMTUMIKIA MUNGU NI SIFA NA SIO FEDHEHA.Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Umeandika maelezo mengi yasiyokuwa na maana!
Mi ni mwanasimba! Km kunamtu wa kuchukuliwa hatua hapo ni H.Manara!!! Haji ni mchochezi.
Kuambiwa rudi ukafundishe madrasa nitusi kwa uisram??? Mpaka unaitisha vyombo vya habari??
Aliyekuwa mkuu wa Usarama Wa Taifa Tiss ndg Kipilimba aliwahi kuambiwa na wanasiasa wa upinzani chademaa kuwa! Afanye kazi ya kuhubiri injiri aachane na kazi ya usarama wa taifa imemshinda na wakaenda mbari zaidi wakisema ana kanisa je! Hapo napo chadema walitukana ukristo?
Manara aachane na kazi ya usemaji wa club ya simba! Simba ni team kubwa africa ukiwa mwajiriwa team hii uwe mweredi! Mvumirivu! Na hata ukikosewa ujue namna yakufikisha malalamiko kwa wahusika lakini kwa weredi.
Swala lakuitisha vyombo vya habari nakumalizia hasira zake kwa umma je! Manara ni msemaji wa watanzania waisram!
Simba wamchukulie hatua za haraka manara! Ipo cku ataharibu ndani ya simba pakubwa.
Ngoma ikilia sana huishia kupasuka! Manara very soon atapoteza heshma hata hii ndogo aliyonayo.
Waislamu wamekuomba uwatetee au ni kiherehere chako tu!Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Manara na muro Wanajuana wale
Vita zao za maneno haijaanza leo
Muwavumiliee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtetea Upuuzi nae pia huwa ni Mpuuzi vile vile.
Muro juzi alikuwa anaombewa na mwalimu Mwakasege pale Kawe kwenye mkutano mkubwa wa Injili.Manara na muro Wanajuana wale
Vita zao za maneno haijaanza leo
Muwavumiliee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuacheni kuongeza chumvi pasipohitajika kufanya hivyo.kauli ya Jerry Muro haina madhara na ni ya kimichezo zaidi wala haina uhusiano na kashfa dhidi ya uislam.Manara aijibu kauli ile kimichezo na si kutafuta huruma ya waislam, Watanzania tuache uchonganishi hautusaidii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla manara katuudhi hata sisi wanasiba! Tutamfuata mo huko huko instra... tumwambie haya. Kwenye top manegment pale simba wako vizr ila huyu bwana naona kunasababu za kumuacha kuwa pale! Maana hana sifa kabisa! Mo piga chini manara mlete masau bwile! Manara aombe kazi yanga nahisi atafiti kwa kiwango cha kocha walie nae. Ila cyo simba.
Haooo wanajuanaNawashauri na nawataka Waislamu wote nchini Tanzania wasilivumilie hili la DC Jerry Muro tafadhali kwani amewadhihaki mno.
Hajji Manara ni mwalimu wa madrasa.
Sioni tatizo la Muro hapo hata yule Swebe mtangazaji wa E fm ni mwalimu wa madrasa!