Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Haya mpigeni hiyo albadiri tuone.
Nawaaminia Waislamu na najua kama Mheshimiwa Rais atashindwa Kumwajibisha DC wake Jerry Muro basi Wao watamuwajibisha kwa namna yao ya Kipekee kabisa na nitashangaa kuona Waislamu wote nchini Tanzania wanalinyamazia hili. Nawakubali sana Waislamu hivyo msiniangushe katika hili na lazima DC Jerry Muro ama awaombeni Radhi haraka au asubiri yale Maombi yenu Maalum na ya Kipekee ya Wakaidi Kwake Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikubali kabisa Waislamu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Kwa hiyo Manara Hana uwezo wa kufundisha madrasa! Maana ukisema ameikashifu dini napata shida kuelewa HOW? KUMTUMIKIA MUNGU NI SIFA NA SIO FEDHEHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuacheni kuongeza chumvi pasipohitajika kufanya hivyo.kauli ya Jerry Muro haina madhara na ni ya kimichezo zaidi wala haina uhusiano na kashfa dhidi ya uislam.Manara aijibu kauli ile kimichezo na si kutafuta huruma ya waislam, Watanzania tuache uchonganishi hautusaidii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,me naona wewe unasababu zako tofauti kabisa kwa Jerry murro,

Hebu acha uchochezi,nenda kafanye kazi.
Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa kulalamika tena.!
Kwa iyo akitumbuliwa ndo kauli itafutika! Je utapata faida gani?
Inaonekana hiyo elimu ushaidharau wewe mwenyewe, kwani kwanini umehisi alivyosema ni kudhihaki?
Kwani kuna tofauti gani, labda manara angesema elimu ya Muro ni ya kufundisha St seminaries tu au Sunday school?

Acheni kukuza mambo, hayo mambo ya kukuza ndo yanaleta machafuko sasa ivi huko India kati ya waislam na wahindu.
 
Kiujumla manara katuudhi hata sisi wanasiba! Tutamfuata mo huko huko instra... tumwambie haya. Kwenye top manegment pale simba wako vizr ila huyu bwana naona kunasababu za kumuacha kuwa pale! Maana hana sifa kabisa! Mo piga chini manara mlete masau bwile! Manara aombe kazi yanga nahisi atafiti kwa kiwango cha kocha walie nae. Ila cyo simba.
 
Umeandika maelezo mengi yasiyokuwa na maana!

Mi ni mwanasimba! Km kunamtu wa kuchukuliwa hatua hapo ni H.Manara!!! Haji ni mchochezi.

Kuambiwa rudi ukafundishe madrasa nitusi kwa uisram??? Mpaka unaitisha vyombo vya habari??

Aliyekuwa mkuu wa Usarama Wa Taifa Tiss ndg Kipilimba aliwahi kuambiwa na wanasiasa wa upinzani chademaa kuwa! Afanye kazi ya kuhubiri injiri aachane na kazi ya usarama wa taifa imemshinda na wakaenda mbari zaidi wakisema ana kanisa je! Hapo napo chadema walitukana ukristo?

Manara aachane na kazi ya usemaji wa club ya simba! Simba ni team kubwa africa ukiwa mwajiriwa team hii uwe mweredi! Mvumirivu! Na hata ukikosewa ujue namna yakufikisha malalamiko kwa wahusika lakini kwa weredi.
Swala lakuitisha vyombo vya habari nakumalizia hasira zake kwa umma je! Manara ni msemaji wa watanzania waisram!

Simba wamchukulie hatua za haraka manara! Ipo cku ataharibu ndani ya simba pakubwa.

Ngoma ikilia sana huishia kupasuka! Manara very soon atapoteza heshma hata hii ndogo aliyonayo.

Kabla sijaanza kujibu Hoja zako naomba Kwanza kujua je, BAKITA haya maneno yako uliyoyaandika hapa wanayajua?

Uisram
Usarama
Chademaa
Injiri
Mbari
Mweredi
Mvumirivu
Swala
 
Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Waislamu wamekuomba uwatetee au ni kiherehere chako tu!
 
Manara na muro Wanajuana wale
Vita zao za maneno haijaanza leo
Muwavumiliee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Muro juzi alikuwa anaombewa na mwalimu Mwakasege pale Kawe kwenye mkutano mkubwa wa Injili.

Nadhani safari ya kulitwaa jimbo la Kawe imeanza.

Ikumbukwe hata Manara ananyemelea ubunge wa Kawe ili ausimamie vizuri uwanja wa Simba!
 
Tuacheni kuongeza chumvi pasipohitajika kufanya hivyo.kauli ya Jerry Muro haina madhara na ni ya kimichezo zaidi wala haina uhusiano na kashfa dhidi ya uislam.Manara aijibu kauli ile kimichezo na si kutafuta huruma ya waislam, Watanzania tuache uchonganishi hautusaidii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora Kinuke tu ila Waisalmu wasimuhurumie DC Jerry Muro kwani hiyo ni Kauli ya Kuwadharau kama siyo Kuwadhihaki sana.
 
Kiujumla manara katuudhi hata sisi wanasiba! Tutamfuata mo huko huko instra... tumwambie haya. Kwenye top manegment pale simba wako vizr ila huyu bwana naona kunasababu za kumuacha kuwa pale! Maana hana sifa kabisa! Mo piga chini manara mlete masau bwile! Manara aombe kazi yanga nahisi atafiti kwa kiwango cha kocha walie nae. Ila cyo simba.

Hatuna mwana Simba SC Mpuuzi kama Wewe tafadhali. Acha Unafiki!
 
Hajji Manara ni mwalimu wa madrasa.

Sioni tatizo la Muro hapo hata yule Swebe mtangazaji wa E fm ni mwalimu wa madrasa!

Hivi Haji Manara ni mwislamu wa kabila gani? aliingiaje uislam wakati baba yake Sunday Manara alikuwa mkristu au ndio wale watoto walioteguka na kudai demokrasia kabla ya miaka 18? au siku hizi kuna waislamu wanaitwa Sunday? halafu iweje utani wa Simba na Yanga upelekwe Ikulu wakati Hajis Manara siku hizi kapanda daraja yupo na anaongelea Laliga tu wala sio kubwabwaja na akina Utopolotopolo kama wanavyosikika huko wasafi. mwisho ujumbe wangu kwako Hajis wape salaam zao hiyo tarehe 08/03/2020
 
Back
Top Bottom