Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Uchonganishi tu huu.
 
hili bandiko lakipumbavu hata kama mi ndo raisi siwezi lifanyia kazi ova
 
Tayari ushawadhalilisha hao walimu kwa maana ya kukiona hicho kitengo kina mapungufu
In God we Trust
 
Kwa mara ya kwanza leo umeongea neno logical
In God we Trust
 
Mzukulu,
Dah..nimesoma huu uzi zaidi mara 10....sijaelewa kabisa... unaweza kujaziajazia nyama kidogo ili nasi tuelewe?..kwa faida ya umma .....
 
Yani inaonyesha ni Jinsi gan waislam Mna roho ya KISASI Dah Lord Have Mercy...Apo sasa mkiwa kwenye Misikiti kuswali Alah mnamsujudu sijui wa nini kwani hamuwezi kusamehe? au kwenye Kitabu chenu cha Dini hamna maandiko yasemayo Samehe?
 
Unatudhalilisha sana sisi waislam, nakushauri ikiwezekana futa huu uzi wako maana kwenye dini yetu hakuna mtu asiye na busara kama wewe
In God we Trust
 
Ndo nmeona udogo wa IQ ya Manara na mtoa post.Kuambiwa kufundisha Madrasa ni tusi??Kwa mantiki hyo unataka kusema wanaofundisha Madrasa akili zao ndogo??kama ni ndogo kasema Muro? Tatzo mtoa post kakimbia na hatajibu swali hata moja hapo juu
 
Nadhani tatizo la Manara ni elimu yake, either haitumii vema au hiyo nafasi aliyopo ni kubwa kuliko elimu aliyo nayo
In God we Trust
 
Hivi waislamu kwann kitu kidogo tu huwa mnamaind?
Upuuzi huo bwan
 
Nafikiri wewe una mtindio wa ubongo na unatafuta kutuchafulia dini yetu mbele ya jamii yetu ya kitanzania na ulimwengu kwa ujumla.

Inabidi tukulaani kabisa sisi kama wenye dini yetu
In God we Trust
 
Tatizo la mleta mada ni kutaka kuichafua dini, kati ya vitu sensitive katika jamii ni dini na haitakiwi kuviongelea pasipo kuwa na tahadhali
Manara na muro Wanajuana wale
Vita zao za maneno haijaanza leo
Muwavumiliee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Mkwara mbuzi ..Mashekhe wanaoza Keko nenda kawatoe
 
Mtoa mada atakuwa wale waislam wa kusilimu ukubwani.. Yaani mtu alikuwa wale watumishi wa kanisa unakutaga wanavaa mashati ya rangi ya karoti, bluu au zambarau na suruali zinang'aa kama mabati na viatu vinaisha upande mmoja.. Wa hivi akija kuwa mwislam baadae wanakuwaga na itikadi kali za kidini haina mfano
 
Wacha sasa tuanze kukufuatilia maana tunaona unataka kuliingiza taifa letu kwenye machafuko ya kidini
Kabla sijaanza kujibu Hoja zako naomba Kwanza kujua je, BAKITA haya maneno yako uliyoyaandika hapa wanayajua?

Uisram
Usarama
Chademaa
Injiri
Mbari
Mweredi
Mvumirivu
Swala

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…