Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919



Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.

Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?

Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.

Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango

..Waswahili wanaita "utani wenye ukakasi. "

..Wazungu wanaita " tasteless jokes. "

..Washauri wamsaidie bwana mkubwa kwasababu hali hiyo imekuwa ikijirudia-rudia.
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango

Hajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
 
Moto ya Mwambium inazimwangwa kwa manji, 'cause manji inakuanga na nguvu nyigi ya kuzuia miozi ya ngamma rays kuliko Lead!
............................ CHIEF CHEMIST!
[emoji28]
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Utani kwenye rangi za watu...kila siku..kenge nini ww.! Leo mmarekani mweupe akisema hivyo hata kwa utani ataeleweka? Acheni upuuzi..
 
Hajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
Haimaanishi asifanyi utani Kama wewe unaona hawezi NI wewe
Usilazimishe kila Mtu aone hvyo au usilazimishe yeye
Fanya yako songa mbele
 
Back
Top Bottom