He can never do without it. It's an inborn behavior.
..I dont think so.
..I believe if his advisors tell him that the jokes he has been making are rude and inappropriate he will change.
He can never do without it. It's an inborn behavior.
Haimaanishi asifanyi utani Kama wewe unaona hawezi NI wewe
Usilazimishe kila Mtu aone hvyo au usilazimishe yeye
Fanya yako songa mbele

Ubaguzi hauna utani weweYaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kuna utani na mzaha, ule ni mzahaYaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kauli za kisukuma kila mahali na ubaguzi wa kila aina hadi kwenye jinsia,ukabila na ubaguzi wa kijinga tuMimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Kampeni zimegeuka kuwa utani?Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
yule si mtaniaji ila mdhalilishaji anajificha tu kwenye utaniHajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Aliongea kwa utani kwa nani,sisi sio watani zake embu atuache hukoYaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Alitania wakati anafanya vitendo, ajiaandae tu kuliwa huyoMimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Tundu Lissu aanze kufunga mabegi arudi kweny Green card yake.Tuko Dar kesho na kesho kutwa tunachukua majimbo yetu.Tnawaacha mkiwa mrenda mrenda.Mlishindwa kutangaza sera kwa wana Dar es salaam mkabaki mkitukana TBC.Leo sera zimeuzwa na kiboko yenu JPM na jiji limepokea kupatiwa flyovers 6.kudadadadeki, Lissu alibaki kuuza matundu ya risasi 16.Hopeless presidential CandidateMama Janeth anavumilia mengi kweli kweli, atapewa tuzo ya Heshima kwa kuwa mvumilivu mara baada ya Tundu Lissu kuapishwa kuwa Rais wa JMT!