vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,853
- 2,272
Mimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Urais hauna utani pia sera za CCM hakuna utani