Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Wanawake wanajidhalilisha wenyewe,wanatukanwa lakini wanashangilia,sisi watanzania ni sawa na kifulushi Cha mitandao yote
Awamu hii ndio nimeanza kuelewa kwanini Nyerere aliambiwa anaongoza maiti
 
Siku hizi kasuku wameishiwa sera saaa wanakwenda na kauli za magufuli.

Magu ni msukuma,wasukuma wanafahamika kwa kupenda wanawake weupe(japo kaoa mwanamke mweusi kama hao anaowatania).

Watu wamekosa tumaini sasa imefikia kipindi mtu anaamka na stress anampatia magufuli,anachofanya ni kutafuta sababu tu.
 
Unajua udhalilishaji wewe, acha kuandika ujinga na kupotosha watu,,kama angekuwa mbaguzi mbona mke wake mweusi
Ule ni kama utani tu lakini sio sawa kutamkwa vile na nchi nzima ina access ya kukusikia. Binadamu tumetofauti the way tuna perceive things na ndiyo hichi kilichotokea baada ya kauli yake kila mtu amedifine vile akili imemtuma.
 
View attachment 1595438


Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.

Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?

Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.

Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?

Mke wake ni mweupe au mweusi?
 
Nimekuja Depal .

Japo katukandya lakini kura yangu Magufuli anayo.

Ukweli ni kwamba sisi ni wazuri na ni watamu kwa ndani 🤣🤣yani huko ndani ni kama kuna tanuru ya kuchoma mkaa😎
Nina uhakika miaka yake mitano anaenda kuimalizia lakini kumchinja nitamchinja tu.

Hahaha hiyo aya ya mwisho umejitetea kama mdogo wangu, nikimtaniaga ndiyo maana nyumba nzima we mweusi kupitiliza basi utamsikia lakini me ndiyo mzuri kuwazidi.
 
Wanaomchukia JPM hawatakwisha lakini Watanzania sio wajinga. JPM mchana usiku jioni 5 Tena.

''London kuna basi moja la ghorofa'' - TAL
 
Wanaomchukia JPM hawatakwisha lakini Watanzania sio wajinga. JPM mchana usiku jioni 5 Tena.

''London kuna basi moja la ghorofa'' - TAL
Acha propangaza za kijinga wewe!
Hatuwezi kukubali kutawaliwa na Rais Mbaguzi wa Rangi anayetaka kuturudisha enzi za Utawala wa Makaburu wa South Africa!!
Mwambieni mgombea wenu achunge ulimi wake.
 
Mheshimiwa Magufuli kwa sasa mchukulieni ana hasira nyingi sana na unapokuwa na hasira basi hata maneno huwa yanayazidi ya usipokuwa na hela.

hasira za kujua unaelekea kushindwa baada ya kujenga leli na balabala na kujenga uwanja wa ndege kununu ndege mambo ya kifahari matupu amewasahau wapiga kura,leo anakumbuka it is too leeet.

Hivyo hata anayoyasema huwa hayana mizani wala rula.
 
Acha propangaza za kijinga wewe!
Hatuwezi kukubali kutawaliwa na Rais Mbaguzi wa Rangi anayetaka kuturudisha enzi za Utawala wa Makaburu wa South Africa!!
Mwambieni mgombea wenu achunge ulimi wake.
Kama JPM mbaguzi jinyonge. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nina uhakika miaka yake mitano anaenda kuimalizia lakini kumchinja nitamchinja tu...


Hahaha hiyo aya ya mwisho umejitetea kama mdogo wangu, nikimtaniaga ndiyo maana nyumba nzima we mweusi kupitiliza basi utamsikia lakini me ndiyo mzuri kuwazidi
Nashukuru kwa kulikubali hilo.ccm hoye👍🏿

Huo ndo ukweli wanawake cheusi mangara ni watamu na wazuri sana.waulize wanaume 😁
 
Ametudhalilisha sana na tunajiona wanyonge sana kwakweli mbele ya uso wa nchi hii sie tuna makosa gani kuwa weusi?Sasa atatutambua huyu ##%$@@@@&*** siku ya tr 28 october all my fellow Black beauty twendeni tukamkate huyu nduli hafai kuongoza nchi yetu ametunyanyapaa just because of the color of our skins
 
Siwezi kujinyonga ila najua Mungu ninayemwabudu atafanya kitu fulani kwa huyo JPM wenu mnayemtukuza kama muungu mtu.....pambaf!
''Mlizoea vya kunyonga'' khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom