Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

View attachment 1595438


Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.

Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?

Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.

Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Hivi ule umoja wa wansheria wanawake TAMWA wapo?
 
Ni kweli. Lakini watu hawawezi kuacha kusema kisa tu huwezi kubadilika. Kama unakojoa kitandani, utasemwa siku zote. Kibaya zaidi, tabia hiyo watu wanaweza kuichukulia kama kigezo cha kufanya maamuzi fulani, mfano akina mama kuamua kumnyima kura kwa kuonekana kuwa anawanyanyapaa.
Umeongea ukweli brother. Hizo sio kauli za kuongea maana binadamu tunatafsiri tofauti. Wapo waliokwazika na kauli hiyo, hivyo ni vzr akiacha kauli zenye mrengo wa kiubaguzi.
 
Utajuaje, labda moyoni mwake anajuta kwa nini kamuoa, na ndio msingi wa kauli kama hizi. Kwa mfano we Lucy ni mke wangu lakini hauna chura. Utajisikiaje niwe nawasifu wanawake wenye chura tena mbele zako?
Atachukulia ni utani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.

Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?

Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.

Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Wewe ni msemaji wa wanawake weusi?

Kutokana na chuki zenu zilizokithiri dhidi ya Rais wetu daima mmekalia kutafuta makosa! JPM naye ni binadamu kuna wakati anatania, anacheka. Hata kama anapenda wanawake weupe bado sio kosa kwa sababu kuwa na hisia sio jinai.

Hata mueneze vipi chuki dhidi ya JPM bado tupo watanzania kwa mamilioni tunaompenda sana JPM na tutaendelea kumpenda.

Rsis amefanya mengi mno mazuri (classic) kwa watanzania na hata dunia na kazi zake daima zitabakia kuwa rejea hata baada ya yeye kuondoka madarakani, mataifa mengi wanamjua wanamadmire wanamuiga staili yake ya kutatua changamoto na kusukuma maendeleo. Mfano ugonjwa wa COVID 19 dunia nzima yeye ndio kiongozi pekee wa mfano aliyefanikiwa kuutokomeza.

Endelea kujidanganya kuwa unaweza kumpandikizia chuki kwa wananchi, labda kwa majizi na mafisadi wa fedha za umma na waliokuwa wananufaika nazo.

Subiri tarehe 28/10 mnanyolewa mapema bila maji kwa ushindi wake wa kishindo .
 
Mental illness, kuna watu wana ela na power ila bado wana psychological problem. Haikuwa na msingi. Nilishtuka sana kuiskia ile kauli alafu ilikuwa kwenye daladala, watu walilaani sana iki kitendo.alieabishwa sanaa ni primary school teacher
 
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?

Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Lini huyo aliyepinda bichwa katania? Ukiwa makini kumfuatilia huwa hataniii anamaanisha, ohoooooh pole kama humjui vizuri.
 
Utani kila mara anaongea kuhusu wanawake utani gani huo.... Huyo mzee kazoea kuwadhalilisha wanawake... Kwa kifupi hana hekima wala busara
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?

Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
 
View attachment 1595438


Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.

Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?

Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.

Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?

Huyu ni mnyapara wa barabara tu hafai kuwa rais.
 
Back
Top Bottom