Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba unaweza kutambua mtu mtamu kwa kumwangalia tu?Mpaka namtongoza maana yake nmeshajua ni mtamu.
Ivo neno km ilo huwa ni msamiati.
[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba unaweza kutambua mtu mtamu kwa kumwangalia tu?Mpaka namtongoza maana yake nmeshajua ni mtamu.
Ivo neno km ilo huwa ni msamiati.
Eehh kuepuka mvunjiko wa moyo...[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba unaweza kutambua mtu mtamu kwa kumwangalia tu?
Mwambie aache Ujinga .Wewe ni mwanamke mweusi?,pole sana ,rais alikua anafanya utani tu
Aisee kumbeEehh kuepuka mvunjiko wa moyo...
Ikabidi niwe na uwezo wa kuona hiki kitamu iki si kitamu.
Sasa mpaka natongoza basi ni kitamu 100%
Hoja hamna kazi yenu ni kushadadia vitu visivyo vya msingiView attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Mambo kama haya. Ndio leo hii yamewapa kampeni ngumu ambazo hamkutegemea .Hoja hamna kazi yenu ni kushadadia vitu visivyo vya msingi
NdiwooooAisee kumbe
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
SawaNdiwoooo
Hakuna kampeni nyepesi kama hizi sasa, maana hakuna ushindani kuna upinzani, kama kujenga hoja kwenu ni shida mnaishia kushadadia mambo na kutukana. Uchaguzi mwepesi sana huuMambo kama haya. Ndio leo hii yamewapa kampeni ngumu ambazo hamkutegemea .
Endeleeni kushadadia upuuziWanaomtia Magufuli hasira![emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1596057
Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Upuuzi kivipi mkuu?Kwani ni uongo kuwa Magufuli alifanya ubaguzi wa wazi dhidi ya wanawake?Endeleeni kushadadia upuuzi
Hahahaa nyepesi sababu mmeamua kushirikisha Jeshi la Polisi, Tume ya Uchaguzi au sio?????Hakuna kampeni nyepesi kama hizi sasa, maana hakuna ushindani kuna upinzani, kama kujenga hoja kwenu ni shida mnaishia kushadadia mambo na kutukana. Uchaguzi mwepesi sana huu
Jomoni Mama!Ni kama hatupendi
Anatania?!Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?Wewe ni msemaji wa wanawake weusi?
Kutokana na chuki zenu zilizokithiri dhidi ya Rais wetu daima mmekalia kutafuta makosa! JPM naye ni binadamu kuna wakati anatania, anacheka. Hata kama anapenda wanawake weupe bado sio kosa kwa sababu kuwa na hisia sio jinai.
Hata mueneze vipi chuki dhidi ya JPM bado tupo watanzania kwa mamilioni tunaompenda sana JPM na tutaendelea kumpenda.
Rsis amefanya mengi mno mazuri (classic) kwa watanzania na hata dunia na kazi zake daima zitabakia kuwa rejea hata baada ya yeye kuondoka madarakani, mataifa mengi wanamjua wanamadmire wanamuiga staili yake ya kutatua changamoto na kusukuma maendeleo. Mfano ugonjwa wa COVID 19 dunia nzima yeye ndio kiongozi pekee wa mfano aliyefanikiwa kuutokomeza.
Endelea kujidanganya kuwa unaweza kumpandikizia chuki kwa wananchi, labda kwa majizi na mafisadi wa fedha za umma na waliokuwa wananufaika nazo.
Subiri tarehe 28/10 mnanyolewa mapema bila maji kwa ushindi wake wa kishindo .
Hehehe nimejiona hapoWanaomtia Magufuli hasira![emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 1596057
Huyu jamaa sio mzima kichwani, miaka mitano imemtosha tumemfahamu.View attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?