Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango

Utani kwenye rangi za watu...kila siku..kenge nini ww.! Leo mmarekani mweupe akisema hivyo hata kwa utani ataeleweka? Acheni upuuzi..Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni raisi basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kwa hyo umeumia Sana na hyo rangi yako nyeusi dada?? Pole Sana yaaani naona kimekuumaUtani kwenye rangi za watu...kila siku..kenge nini ww.! Leo mmarekani mweupe akisema hivyo hata kwa utani ataeleweka? Acheni upuuzi..
Haimaanishi asifanyi utani Kama wewe unaona hawezi NI weweHajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
He can never do without it. It's an inborn behavior...Waswahili wanaita "utani wenye ukakasi. "
..Wazungu wanaita " tasteless jokes. "
..Washauri wamsaidie bwana mkubwa kwasababu hali hiyo imekuwa ikijirudia-rudia.