Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Kila kiongozi ili aonekane anafanya kazi anakuja na takwimu za uongo na kumuaminisha mkulu mambo yanakwenda kumbe sio kweli. Vijiji vingekuwa na umeme vingepunguza tatizo la ajira!
Unaona? Watu wengi vijijini hakuna umeme! Tena vijiji vingine viko karibu na barabara kuu na njia kuu za umeme hata na makao makuu ya wilaya! Alafu viongozi wanajigamba kasambaza umeme! Ni waongo! JPM angazia suala la REA siku zote wanakudanganya! Mpaka wanyonge watoe hela ndo wanapelekewa umemeNi kweli Mh RAIS anadanganywa,hapa nampalahala wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, kata nzima hatujawahi kuuona umeme Tangu mwaka 1961.
Kama umeme wa REA ungekuwa umeenea kama wanavyosema basi makampuni mengi yanayouza umeme an vifaa vya solar yangeshafunga virago lakini hali ni tofauti
Unaona? Watu wengi vijijini hakuna umeme! Tena vijiji vingine viko karibu na barabara kuu na njia kuu za umeme hata na makao makuu ya wilaya! Alafu viongozi wanajigamba kasambaza umeme! Ni waongo! JPM angazia suala la REA siku zote wanakudanganya! Mpaka wanyonge watoe hela ndo wanapelekewa umeme
Ninashashauri REA isimamiwe na ofisi ya Rais Tamisemi,ninadhani itawajibika ipasavyo. Wizara ya nishati, imeshindwa hata kutambua vijiji vinavyohitajika kuwekewa umeme vilipo.haijui idadi ya watu, haijui barabara ziliko,haijui viwanda viliko, REA Haina ofisi popote Tanzania, hivyo kwa vijijini unakuta wahindi wanafunga umeme,ukiwauliza ofisi ziko wapi wanakuambia nenda Tanesco,ikifika Tanesco unaambiwa muone meneja wa Tanesco,ukimuona meneja anampigia mhindi simu , simu haipatikani.hapo unakuwa mwisho wa mteja kupata hudumaSahihi kabisa mkuu.
Ninavijua vijiji zaidi ya 7 ambavyo vyote hao REA wameunganisha umeme katika nyuma 6 tu kila kijiji. Toka mwaka unaanza mpaka leo hakuna raia mwingine aliunganishiwa.
Hizo takwimu ni siasa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani! Kijiji chanye kaya 900 unaunganisha nyumba mbili alafu matangazo kibao ya uongo kuwa kijiji kimeuganishwa na umeme?? Mweshimiwa Rais kweli anadanganywa!Sahihi kabisa mkuu.
Ninavijua vijiji zaidi ya 7 ambavyo vyote hao REA wameunganisha umeme katika nyuma 6 tu kila kijiji. Toka mwaka unaanza mpaka leo hakuna raia mwingine aliunganishiwa.
Hizo takwimu ni siasa tu.