Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
- Thread starter
- #41
Tunataka umeme sio porojo!
Tunataka umeme sio porojo!
Haswaaa! Kweli kabiaa Mdau! Ni kama NGOs wakichimba choo chenye tundu moja wanafanya matangazo kwenye Radio na TV zoote na magazeti na kwenye mitandao. Huo umeme wa Rea kwa kaya masikini ni uongo mtupu! Wanasubirisha saana watu wenye hela zao wanunue nguzo ndo na wao wanaunganisha nyumba mbili kwa matangazo kibao! Ukweli ni kwamba vijiji vilivyohata karibu na miji ni giza sembuse ndani ndani! Vijiji vingi vyenye umeme ni uchagani kwa mikakati yao ya miaka mingi. Wee fikilia vitongoji vinavyozunguka hata mji wa kibaha na kisarawe wakati vimepitiwa na gridi zoote za umeme ni Giza tupu na wananchi wake masikini wa kutupwa huku wakidanganya wameishaviunganisha na umeme wa Rea! Waongo na wanamdanganya Mkulu!Natamani watanzania wote tuungane kulisema hili jambo, umeme wa REA ni uongo mtupu, nimelala mika sana nikachoka, Dr Kalemani nimempigia sim mara kibao kumueleza uhuni unaofanywa na hawa mawakala wa rea lakini simu hapokei, mh Subira Mgalu na yeye sim hapokei, natamani nimfikishie mh Rais kilio hiki ila sina pa kupita, zaidi ya 90% ya vijiji na vitongoji watu hawana umeme ni takwmu za uongo tu zinatolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya hapo ulikuwepo?Ni kweli Mh RAIS anadanganywa,hapa nampalahala wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, kata nzima hatujawahi kuuona umeme Tangu mwaka 1961.
Hadi kero!Morogoro ni shida, ukiomba umeme, uko nyumba za jirani unaambiwa mradi, maelekezo ya viongozi yako wazi, jeuri hii sijui wanaipata wapi! Viongozi wetu watusaidie kufuatilia ili maelekezo yatolewe
Sent using Jamii Forums mobile app