Walipiga picha nyumba ya nyasi wameweka umeme ili kuhadaa umma umeme umefika vijiji vyote .Yaani! Kijiji chanye kaya 900 unaunganisha nyumba mbili alafu matangazo kibao ya uongo kuwa kijiji kimeuganishwa na umeme?? Mweshimiwa Rais kweli anadanganywa!
Kama vijiji vingepelekewa umeme umasikini na kukosa ajira vingepungua pakubwa! Sasa hao viongozi wapiga deals za mdomo na kujipendekeza kwa mkulu kwa kutoa takwimu za uongo ndo wanaumiza jamii zetuAwamu ya sita ndio inayoongoza kwa propaganda kuliko awamu zote jambo moja likifanywa utangazwa Mara 1000 kinyume na hali halisi.
Kasi ya usambazaji umeme ingeendana na kupungua kwa umasikini kwa kupunguza shida ya ajira.Watendaji wengi wamejaa propaganda kumuhadaa bossi wao.Kama vijiji vingepelekewa umeme umasikini na kukosa ajira vingepungua pakubwa! Sasa hao viongozi wapiga deals za mdomo na kujipendekeza kwa mkulu kwa kutoa takwimu za uongo ndo wanaumiza jamii zetu
Huko Geita mambo yenu mazuri kila wizara inaleta project huko awamu hii ya tanohuku kwetu nzera geita wamejitahidi umeme upo na wanawaunganishia wateja wapya bila shida.
Hivi Geita si ndio Chato iko pande hizo?huku kwetu nzera geita wamejitahidi umeme upo na wanawaunganishia wateja wapya bila shida.
Tunapigwa kijanja.Hiyo pesa ya REA si inakatwa kwenye bill zetu za umeme, iweje wateja wa vijijini wasiunganishiwe huo umeme, shida sana aise..
Awamu ya sita bado mkuu punguza munkari.Awamu ya sita ndio inayoongoza kwa propaganda kuliko awamu zote jambo moja likifanywa utangazwa Mara 1000 kinyume na hali halisi.