Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

Haswaaa! Kweli kabiaa Mdau! Ni kama NGOs wakichimba choo chenye tundu moja wanafanya matangazo kwenye Radio na TV zoote na magazeti na kwenye mitandao. Huo umeme wa Rea kwa kaya masikini ni uongo mtupu! Wanasubirisha saana watu wenye hela zao wanunue nguzo ndo na wao wanaunganisha nyumba mbili kwa matangazo kibao! Ukweli ni kwamba vijiji vilivyohata karibu na miji ni giza sembuse ndani ndani! Vijiji vingi vyenye umeme ni uchagani kwa mikakati yao ya miaka mingi. Wee fikilia vitongoji vinavyozunguka hata mji wa kibaha na kisarawe wakati vimepitiwa na gridi zoote za umeme ni Giza tupu na wananchi wake masikini wa kutupwa huku wakidanganya wameishaviunganisha na umeme wa Rea! Waongo na wanamdanganya Mkulu!
 
Morogoro ni shida, ukiomba umeme, uko nyumba za jirani unaambiwa mradi, maelekezo ya viongozi yako wazi, jeuri hii sijui wanaipata wapi! Viongozi wetu watusaidie kufuatilia ili maelekezo yatolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…