Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hana tofauti na baadhi ya wana Jf hapa wenye chuki za kikabila, ila kwa upande mwingine hao wananchi kwanini wasipeleke malalamiko yao mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana, eti ikawa hekaheka
Rais Mwinyi aliwaambia wamakonde wakazane kwenye korosho? ikawa heka heka watu kuinamishana chini ya mokorosho
Mkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo
Ila jamani tuache masihara ivi nani asiyewajua wachagga kwenye pesa.... Ingekuwa JF ni vicoba tungekubaliana pesa akae nazo manka au mangi? [emoji3]Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Hongera JPM kusikiliza shida za wahitaji, ushauri wangu ni vyema akawa anatoa maelekezo nchi nzima kwa mfano wa shauri husika.Kina mama wamejipanga sana kwa vikundi, ni vyema maamlaka zikawashika mkono kwa kuwawekea sheria na mifumo rafiki.Rais pia kagua huenda mama yule anatumia sehemu ya zile pesa kuwanyima haki wenzake, polisi na mahakama dole hilo.Hana tofauti na baadhi ya wana Jf hapa wenye chuki za kikabila, ila kwa upande mwingine hao wananchi kwanini wasipeleke malalamiko yao mahakamani?
Yaani msimlaumu Magu ni kweli wachaga kwa issue ya fedha hamuaminiki.Mko tayari kuua kwa ajili ya fedhaWanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Ni ujinga wa hali ya juu kunasibisha matendo ya mtu na kabila lake.
Kumbuka huyu ndo baba yake wa "kiroho".Kumbe yule jamaa aliyewasema wachaga kwenye msiba wa ndugu Machache anaiga kwa huyu,
Unaunga mkono hoja ipi?
Paskali una utaalamu wa uandishi na ni mjuzi wa kuvuta nyuzi za zamani na kuzipandisha naomba baada ya hili la wachaga unisaidie kumbukumbu ya Rais wa nchi hii aliyemfokea waziri wake hadharani.Tusaidie!!
na ndio kule sehemu fulani "mwafyaaaa" sileti chakula cha msaada. huenda ni hulka yake na tambo za ma babu zetu.
wakumbuka hata kwenye ule msiba si jui wanani nimesahau alisema juu ya marehemu kuwa na watoto wengine hahaha
Mimi siyo mchaga,Hata sheria za nchi zimeruhusu utani na Msukuma ni mtani wa makabila mengi hapa Tanzania, hata hivyo record za wakina mushi kwenye pesa sio nzuri, mukulu naye katumia mwanya huohuo kurusha jiwe gizani kwa Wachaga.