Ghostshadow
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 128
- 85
Mwizi atabaki kuwa mwizi tu hio ndio sifa yenu kuu mengine yanafuataUmemtolea mfano Mosha na kuhukumu jamii nzima kana kwamba ndio kawekwa kuwakilisha wachaga wote, nashindwa kujua kama shida ni elimu yako, weledi wako au ni chuki tu dhidi ya jamii ya kichaga
Me nachoamini kuwa nchi hii ni yetu wote sio kwa ajili ya kikundi fulani ambacho wao ni malaika sana kuliko wengine, hivyo sina haraka na watu kama nyie na kejeli zenu za waziwazi nasubiri muda uamue tufike hapo mnapopataka
Sent using Jamii Forums mobile app