Executive Diary
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 325
- 824
Na huu ndio ukweli hata biblia inasema Pesa ipitayo mikononi mwako inaweza kukufanya tajiri au masikini.Unajichanganya, mara wapo wachaga waaminifu halafu hapo hapo wachaga wachache ndo wezi. Ilitakiwa wengi wawe wezi wachache waaminifu ili uhalali wa generalization uwepo.
Wachaga wengi ni wajanja wajanja ila si wezi. Ukimpa hela yako hawezi itunza kabatini, atawaza tu kuizungusha ili ukija ichukua abaki na kifaida chake. Ss kwe kuizungusha hapo ndo anaweza ipoteza akaonekana mwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app