Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Sifa yenu juu ni wizi na utapeli...kwa hiyo mtulize misambwanda prezdaa kapiga mule mule.
Huyo ngosha sio mwizi?

Zile nyumba za NHC alizohonga kwa mashangingi je?

Wale samaki wa magufuli?

Sijui unatoka mkoa gani usikute ndio wale mnaogopa kurudi vijijini kwenu kwasababu mmepanga mjini na kwenu huko nyumba ni ya matope? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usifananishe Wachagga na upupu.

Mkoa wenye shule nyingi kuliko wowote nchini.

Mkoa wenye makazi bora vijijini kuliko sehemu yoyote Tanzania.

Mkoa wenye kivutio kikuu cha watalii Tanzania.

Mkoa wenye ma Dons kuliko wowote Tanzania.

Mkoa wenye mandhari nzuri kuliko popote Tanzania.

Mkoa wenye wasomi wengi kuliko wowote Tanzania.

Huoni aibu sister? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mchaga lakini ndio ukweli silaumu hizo kauli zake, wachaga tupo after money. Hata mimi ningekuwa mwenyekiti wa hicho kikundi ningeingia mitini na hizo 25M

Sent using Cash Money Wings
🤣🤣🤣🤣🤣 hahah halafu kuna mtu anasema mnasingiziwa.

Kiukweli nimeishi na wachaga for 8 years now ila kwenye maslahi ya kipesa hawana utani. Yani atakuundia kamati tu akupige hela aidha kwa kukudalalia au kupita na genji lako mazima.
 
Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.

Kwani kuna uwongo ktk hilo alilosema Magu! Hata mimi najua, na ww pia unajua kuwa wachaga na hela ni jaribu lililo kubwa kuliko uwezo wao! Ww unajua na kila mtu anajua, waliowengi sio waaminifu inapokuja kwenye kitu pesa! Hata hivyo aliwapa shavu wapare, mbona hulisemei hilo bali umeshadadia hilo la wachaga! Hilo ni jiwe la gizani naona limekupata! Kama vipi muache tabia za hivyo kujidai nyie ndio mnafahamu pesa zaidi ya binadamu wengine! Magu hakulisifia kabila lake kwa hivyo hakuonyesha ukabila wowote ili kama binadamu anayependa kusema ukweli amelisema na ukweli ndio huu!
 
sio ukabira, wachaga mnatamaa na hela, mnatamani hata pesa isiyo yenu, mwishowe mnaishia kuwa wezi, na wale dada zetu kule sinza cornerbar!
Ni hela ipi isiyo yao. Kiding....ahaa aaaa...
 
Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.

Wachaga hamna uaminifu kwenye pesa au suala lolote linalohusisha maslahi ya fedha
 
Si ndio ukweli? Ukiangalia trend na matukio wala hajaongea vibaya rais wa watu.... ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli tuuu.. umimi uliokithiri na kupenda pesa
 
Kwa mfano Mkuu Wachaga ni Watu wazuri kwenye Pesa?Mangi labda umuwachie Mavi nayo pia atayafanya Mbolea.
 
Mheshimiwa Rais ni Msema kweli. Na msemakweli ni mpenzi wa Mungu, ukweli utabaki kuwa hivyo kwa Wachaga kama hutaki kuelewa jaribu Uliwe.
 
Nyamaza wachaga mnajulikana kwa wizi na kwenu hiyo ni sifa. Yaani mchaga (baadhi) akipewa nafasi kubwa cha kwanza ni kuiba. Ni wezi sana wachaga
we kenge tutajie kabila lako, usitafute umaarufu kwa kuwatukana wachagga,
 
Back
Top Bottom