Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

🤣🤣🤣🤣🤣 hahah halafu kuna mtu anasema mnasingiziwa.

Kiukweli nimeishi na wachaga for 8 years now ila kwenye maslahi ya kipesa hawana utani. Yani atakuundia kamati tu akupige hela aidha kwa kukudalalia au kupita na genji lako mazima.
Teh teh teh! Mangi hana utani na pesa 😂😂😂😂😂😂
 
Nawe unachuki nae binafsi tu sasa unadhani yule mama badala ya kuongelea shida za jamii yeye anaongelea shida zake za kijinga unaona sawa
 
Kwani
Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.
uongo uko wapi? Japo si wote lkn wengi wenu uwaminifu mbele ya hela sifuli..
M. mungu.
O. onyesha
S. sehemu
H. hela
I. ilipo
Ili uwe mpumbavu usi reply
 
Ha ha ha ha.

Ametaja mafisadi.

Wahaya na ufisadi ni samaki na bahari.

Akili nyingi ndio maana hatusemani kuliko hawa wasukuma washamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu Tu wa wabongo mtu akiwa na hela nyingi eti fisadi sijui muhujumu uchumi.

Huyo rugemalira sijui malinzi ushahidi hata hawana.

.wasiowaelewa wahaya ndo ukuta wakiwakashifu na kuwaita matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,
FB_IMG_15837450815365492.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kwa kweli amefanya kazi kubwa sana kupambana na wezi na mafisadi.
Kwa Miaka mingi sana watu hao wamekua wanasimamia taasisi za fedha lakini wanatuangusha sana kwa wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.

Kwa bahati mbaya hii ndio mindset ya utawala huu. Chuki na ukabila. Rais mzima ana prejudice? Saa nyingine unajiuliza hivi kafikaje hapo? Point Sasa so wachaga tuwafanyaje? Tuwatenge au tuwaue wote maana system inawachukia waziwazi Kama vile nchi hii sio kwao. Sad.
 
Hamna ukweli wowote alafu unaweza kukuta huyo mama kabeba tu jina la mume wake lakini sio mchaga, mbona kesi za uhujumu uchumi hawajajaa? Wauza unga? Mafisadi? C'mon. Acheni kuwaogopa kisa wamewazidi kitu. Hii inferiority complex Ni mbaya Sana.
Mbali na utani; lakini huo ndio ukweli, wachagga kwa hela [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom