Ghostshadow
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 128
- 85
Mwizi atabaki kuwa mwizi tu hio ndio sifa yenu kuu mengine yanafuataUmemtolea mfano Mosha na kuhukumu jamii nzima kana kwamba ndio kawekwa kuwakilisha wachaga wote, nashindwa kujua kama shida ni elimu yako, weledi wako au ni chuki tu dhidi ya jamii ya kichaga
Me nachoamini kuwa nchi hii ni yetu wote sio kwa ajili ya kikundi fulani ambacho wao ni malaika sana kuliko wengine, hivyo sina haraka na watu kama nyie na kejeli zenu za waziwazi nasubiri muda uamue tufike hapo mnapopataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatukana kabila zima. Wewe kabila gani, ili tulinganishe Masai na kabila lako. Si afadhali Mmasai kuliko Singeli.Au masai kuwa mlinzi,.. Masai kabila la kipumbavu sana, yan et wanadumisha mila, mila gani,
Naunga mkono hoja wapewe sekta binafsi wauze vinywaji bidhaa zingine na walipe kodi wakilipa kodi vzr kwa uaminifu ndani ya miaka 100 tutawafikiria katika mambo ya kiserikaliSo tunahitimisha kuwa wachaga ni wezi?Basi tuwatenge kwenye ajira za serikali!
Mm nilitaka niwe mchaga pia lkn kwa hali niionayo sasa inabidi ni search mahala pengineKwanini makosa ya wachache lawama ziende kwa kabila zima?Hii ni chuki ya wazi kabisa,mwalimu Nyerere alisema mtu mkabila ni mpumbavu!
DuuhNaunga mkono hoja wapewe sekta binafsi wauze vinywaji bidhaa zingine na walipe kodi wakilipa kodi vzr kwa uaminifu ndani ya miaka 100 tutawafikiria katika mambo ya kiserikali
... wewe jamaa hatari sana! Post hii uliianzisha 17 Machi, 2020; exactly a year later?Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
tusameheni tu jaman, yamepita.Mwendazake alikua mkabila sana
[emoji849][emoji849][emoji119][emoji119]Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo