Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

Mheshimwa rais wetu, okoa pesa zilizowekezwa kifisadi na Dau kule Kigamboni kwa kufuta hati ya viwanja vyote vya Akbar, ili akose uhalali kisheria na hivyo kuwakabidhi NSSF waendelee kutafuta mbia mpya.

Tafadhali sana mheshimiwa rais
Kwa huu uandishi wako sidhani kama watakuelewa.
 
Huku duniani ukiamini unaakili kuliko watu wote utapata tabu sana...magufuli anaamini namna hiyo sina hakika kama alipata mawazo ya walioanzisha huo mradi waliwaza nini... mbaya zaidi kwa huku Africa washauri wanaongea anachopenda kusikia Mkuu wao kazi nikupigia mstari kila kitu àkiondoka mamlakani wale wale utawaona wanamponda anyway kama hujawahi kufanyabiashara hata ya Genge usitegemee kuwaza vzr kwenye miradi mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wachina wanahakiba ya pesa za kigeni trilion 4,nyingi kuliko hata marekani alizonazo hazina,lakini wanajua pesa kuiweka ikae hazina ni risk maana inapoteza thamani,ndo maana unaona wana invest huku africa na dunia kote kwenye long time investment kama hawana akili nzuri,
usiweke hela kwenye kibubu,itapoteza thamani,invest invest,
mimi ni mchumi niliehitimu darasa la saba
 
Mbia akipatikana pesa yake itarudije baada ya mradi wake kwisha???
1.Ujenzi wake mpaka Sasa umegarimu pesa nyingi kutokana na upigaji hivyo kiuchumi akuna atakaetaka apoteze pesa zake
2.Iwapo Serikali ingeendelea kuwepo Dar es salaam...Miradi yote ya majumba kigamboni na vitongoji vyake thamani yake ingeendelea kupanda kila mwaka,kwa Sasa thamani ya Miradi yote ya kingamboni inadidimia kila kukicha....
Yes upo uwezekano wa thamani ya kigamboni kupanda Tena na Miradi yote ya majumba n.k kuendelea na ya kuja kuleta faida tegemewa na walioanzisha hizi projects kama aerikali sikivu ya Tanzania itakaa mezani na kukubali kufanya kazi na mashirika binafsi.....mfano Kama Mimi ningekuwa na uwezo wa kushauri na kukubalika kwa wazo langu,kigamboni inaweza kuwa one of the biggest business hub kusini mwa jangwa la Sahara...Mungu ibariki Tanzania
 
Utajiri unahesabiwa kwy investments unazo miliki na sio cash iliyoko bank, na ndio sustainable wealth.

Sasa kama kurundika mapesa central bank ndio utajiri, tuna tofauti gani na wachimba madini wadogo wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi kutokuendelea sio kwasababu ya Akbar, Akbar alichangia ardhi NSSF walikuwa wanatoa pesa, Rais nikama mradi ukapigwa stop, waturki wakaondoka kwahiyo issue hapo ni either NSSF wamalizie mradi au yaendelee kuwa magofu kwa akili ya kibiashara ule mradi ni mkubwa sana ku fail
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yako Bibi, umeongea point kubwa sana hapa kibiashara ulikuwa bonge la mradi ko tungekubali kuwa tuliibiwa lakin ilikuwa too late kuusimamisha na kuyaacha yale majengo vilevile mwishowe yawe magofu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongeze yepi mkuu maana yeye mwenyewe amekuwa analalamika sana kuhusu mradi wa DEGE, solution ili asistakiwe a revoke hati za hivyo viwanja then akbar akose wa kumshitaki.
hivi huyo dau alitumikia serikali iliyokuwa inaongozwa na chama gani cha siasa?, je mawaziri waliokuwa kwenye hiyo serikali kwa sasa wako wapi?
 
Tatizo la mwalimu wa kemia ni mjuaji wa kilakitu, kuna siku nimemsikia akiwashauri mifuko ya jamii wawekeze kwenye viwanda, nadhani they bought that, sijui wanamuogopa? Tangu lini machineries zikakezwa na kwenye mifuko ya jamii?

Hajui Hata depreciations na appreciation?? Hajui kuwa ardhi au majengo huwa I aongezeka thamani na machineries zinapungua thamani kwa dakika tuu!
 

Mkuu kuna ishu ya mgawanyo wa share, nssf walikuwa na share 45% na akbar 55% na nssf walishatoa zaidi ya 200+b na akbar only 12b.ukakasi uko hapo kwenye share na hapo ndiko Dau alikopiga.
 
hivi huyo dau alitumikia serikali iliyokuwa inaongozwa na chama gani cha siasa?, je mawaziri waliokuwa kwenye hiyo serikali kwa sasa wako wapi?
Serikali ya sasa haitaki kutambua yaliyofanywa na awamu ya nne kwa kuwa awamu hiyo ilikuwa ya kipigaji
 
Serikali ya sasa haitaki kutambua yaliyofanywa na awamu ya nne kwa kuwa awamu hiyo ilikuwa ya kipigaji
NAOMBA NIJIBU SWALI LANGU, ACHA MAELEZO YASIYO NA TIJA. KWANI HUYO ANAYEONGOZA SERIKALI YA SASA, KWENYE AWAMU YA NNE ALIKUWA WAPI? AU UNAFIKIRI WATU WAMESAHAU NYUMBA ZA SERIKALI, KIVUKO CHA BAGAMOYO NA BARABARA ZILIZOJENGWA CHINI YA KIWANGO
 
NAOMBA NIJIBU SWALI LANGU, ACHA MAELEZO YASIYO NA TIJA. KWANI HUYO ANAYEONGOZA SERIKALI YA SASA, KWENYE AWAMU YA NNE ALIKUWA WAPI? AU UNAFIKIRI WATU WAMESAHAU NYUMBA ZA SERIKALI, KIVUKO CHA BAGAMOYO NA BARABARA ZILIZOJENGWA CHINI YA KIWANGO
Kama hujui alikuwa wapi we syo mtanzania na sina haja ya kukujibia, hata nikikujibia hope hutaelewa maana huna uwezo wa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…