pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mkuu nakushauri tafuta maarifa ktk umri wako uliobakia hapa duniani. Tofauti na hivyo unakoelekea utakuwa unaitwa 'babu jinga'Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Hivi kunawatu humu ni watumwa wa watu, atakosolewa na nani wakati wabunge wote wamepita kwa mbeleko yake, msitufanye sisi wajinga.
Kweli CCM haishi viroja-toka lini wabunge waanaombwa wawe wakosoaji? Tumemsikia Ndugai na Sasa JPM. JPM alisema mpeni wabunge wa CCM anamamlaka ya kuwadhibiti,-sasa hii futuhi yote ya nini au mzee Mgaya anasemaje?Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Wabunge mumeshibaa Ndiooooooooo wabunge mna njaa NdiooooooooooooKuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja
P
Yetu macho.Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuna wenye itikadi tofauti umo?Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Meko ni mentalcaseKuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.