Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Ukisema hivyo unawasuta viongozi wa serikali, hataivyo nadhani wamekusikia na wamemsikia pengine kuanzia kesho tutaanza kuona wakivaa barakoa baada ya kuruhusiwa
Nawasuta wananchi wa kawaida kabisa tena wasomi wenye akili zao ambao kutwa kulalamika Rais hasemi chochote kuhusu kujikinga na korona na wakati wanazijua tahadhari zote.
 
Mkuu kauli ya kiongozi ina mamlaka na ni rahisi watu kuitii, kiongozi sio sawa na wewe anapoongea.

Rais akiongea utopolo kuna watu wanajazwa utopolo
Akiongea sense kuna watu wanapata sense.

Take it to the head.
Sawa, haya tayari ameshasema tuchukue tahadhari
 
Kama huwezi kukimbia basi jaribu tu kutambaa. Tanzania ya sasa sio tena ya kichwa cha mwendawazimu mkuu anatakiwa aelewe hili
 
Nawasuta wananchi wa kawaida kabisa tena wasomi wenye akili zao ambao kutwa kulalamika Rais hasemi chochote kuhusu kujikinga na korona na wakati wanazijua tahadhari zote.
Unayajua majukumu ya Rais?? isome katiba vyema hapo ndipo kuna msingi wa malalamiko, wananchi hawakurupuki.
 
He is now coming to his sense.

Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.

Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.

Nimesikia sasa anakimbilia kwenye vita ya uchumi, eti hii ni vita ya uchumi, corona ni vita ya uchumi, uchumi gani?

He is a clown , lakini finally he came back to his senses.. kujifanya mvuta bangi hakutamsaidia
 
Unavaaa barakoa hata ukiwa peke yako? Kwa nini usizodolewe?

Kama hapo ofisini huhudumii watu wala kupata wageni labda, ingawa ni juu ya mtu binafsi kupima hali na kuchukua hatua za kujilinda.

Halafu mambo ya kuzodoana ni ya “uswahili” zaidi. Not needed.
 
Kiongozi unatakiwa uoneshe mfano, ukivaa barakoa ni mfano bora kwa unaowaongoza kujali maisha yao na ya wenzao,amazingly mwanasayansi unakataa sayansi alotupa Mungu nakubaki kuomba miujiza!!

Nchi walokufa wengi hawapendwi naye? Viongozi wa dini walokufa hawakusali? Tuwe serious na maisha ya watu kisha mali zao kamwe tusijali kwanza mali kuliko watu!

Ndomana Leo watu wanalia maisha magumu lkn hakuna jitihada kuwaboreshea badala yake ni kuwabeza kuwa walizoea wizi!!! Sasa walimu njaa Kali miaka sita hakuna daraja jipya, walobahatika malimbikizo hawalipwi kutwa no kujenga mavitu tuu...tujifunze kubalansi maisha akili isikimbilie eneo moja tuu
 
Kiongozi unatakiwa uoneshe mfano, ukivaa barakoa ni mfano bora kwa unaowaongoza kujali maisha yao na ya wenzao,amazingly mwanasayansi unakataa sayansi alotupa Mungu nakubaki kuomba miujiza!! Nchi walokufa wengi hawapendwi naye?? Viongozi wa dini walokufa hawakusali? Tuwe serious na maisha ya watu kisha mali zao kamwe tusijali kwanza mali kuliko watu!!
Ndomana Leo watu wanalia maisha magumu lkn hakuna jitihada kuwaboreshea badala take no kuwabeza kuwa walizoea wizi!!! Sasa walimu njaa Kali miaka sita hakuna daraja jipya, walobahatika malimbikizo hawalipwi kutwa no kujenga mavitu tuu...tujifunze kubalansi maisha akili isikimbilie eneo moja tuu
Word!!
 
He is now coming to his sense.

Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.

Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.

Nimesikia sasa anakimbilia kwenye vita ya uchumi, eti hii ni vita ya uchumi, corona ni vita ya uchumi, uchumi gani?
Uko nyuma Sana mkuu, Mimi Naamini pia kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hasa Kwa mataifa makubwa,
 
Back
Top Bottom