Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]
Nawasuta wananchi wa kawaida kabisa tena wasomi wenye akili zao ambao kutwa kulalamika Rais hasemi chochote kuhusu kujikinga na korona na wakati wanazijua tahadhari zote.Ukisema hivyo unawasuta viongozi wa serikali, hataivyo nadhani wamekusikia na wamemsikia pengine kuanzia kesho tutaanza kuona wakivaa barakoa baada ya kuruhusiwa
Sawa, haya tayari ameshasema tuchukue tahadhariMkuu kauli ya kiongozi ina mamlaka na ni rahisi watu kuitii, kiongozi sio sawa na wewe anapoongea.
Rais akiongea utopolo kuna watu wanajazwa utopolo
Akiongea sense kuna watu wanapata sense.
Take it to the head.
sijajua itakuwaje kwenye ule msimu mzuri wa kumtafuta mkuu wa kaya ajaye.2025.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimepata amani ya moyo kiasi fulani.Ilikuwa lazima iwe hivi maana hakuna namna......kibri si njia ya waungwana bali maridhiano na mshikamano.......
sijajua itakuwaje kwenye ule msimu mzuri wa kumtafuta mkuu wa kaya ajaye.2025.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msongo wa mawazo ya kuondokewa na John Willy...Kwa taratibu naona kama Mh Rais afya yake sio njema sana. Kama amechoka sana, uzee wa ghafla na hata ngozi imechakaa
Unayajua majukumu ya Rais?? isome katiba vyema hapo ndipo kuna msingi wa malalamiko, wananchi hawakurupuki.Nawasuta wananchi wa kawaida kabisa tena wasomi wenye akili zao ambao kutwa kulalamika Rais hasemi chochote kuhusu kujikinga na korona na wakati wanazijua tahadhari zote.
He is now coming to his sense.
Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.
Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.
Nimesikia sasa anakimbilia kwenye vita ya uchumi, eti hii ni vita ya uchumi, corona ni vita ya uchumi, uchumi gani?
Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025
Akisema msivae barakoa KAONGEA VIZURI akisema VAENI BARAKOA kaongea vizuri.
Enyi vifwata upepo kesho mtakosa mwelekeo.
Kwa taratibu naona kama Mh Rais afya yake sio njema sana. Kama amechoka sana, uzee wa ghafla na hata ngozi imechakaa
Unavaaa barakoa hata ukiwa peke yako? Kwa nini usizodolewe?
Word!!Kiongozi unatakiwa uoneshe mfano, ukivaa barakoa ni mfano bora kwa unaowaongoza kujali maisha yao na ya wenzao,amazingly mwanasayansi unakataa sayansi alotupa Mungu nakubaki kuomba miujiza!! Nchi walokufa wengi hawapendwi naye?? Viongozi wa dini walokufa hawakusali? Tuwe serious na maisha ya watu kisha mali zao kamwe tusijali kwanza mali kuliko watu!!
Ndomana Leo watu wanalia maisha magumu lkn hakuna jitihada kuwaboreshea badala take no kuwabeza kuwa walizoea wizi!!! Sasa walimu njaa Kali miaka sita hakuna daraja jipya, walobahatika malimbikizo hawalipwi kutwa no kujenga mavitu tuu...tujifunze kubalansi maisha akili isikimbilie eneo moja tuu
Unataka aivawe mkiwa wote?.Unavaaa barakoa hata ukiwa peke yako? Kwa nini usizodolewe?
Uko nyuma Sana mkuu, Mimi Naamini pia kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hasa Kwa mataifa makubwa,He is now coming to his sense.
Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.
Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.
Nimesikia sasa anakimbilia kwenye vita ya uchumi, eti hii ni vita ya uchumi, corona ni vita ya uchumi, uchumi gani?